Kwanini umekurupuka Nyambafff. Badala ya kukumbatiwa na mzee unakuwa kiherehere tuAdmin naomba neno "kutumiana " kwenye heading liwe "kutuhumiana". Sorry pls
(Wewe ni muongo nguruwe ni wastaarabu hawafanyi hivyo. Ngamia ndio wakikosa chakula hula watoto wao.
Dalmine
da!!!!,taratibu mkuu....msamehe bure.....Kwanini umekurupuka Nyambafff. Badala ya kukumbatiwa na mzee unakuwa kiherehere tu
Ni kibaka wa Lumumba huyu anavizia teuziHuyo siyo kamanda ni mchumia tumbo wa ccm , baada ya muda mfupi sana tutamwanika hadharani
Ana bleed kama demu anaogopa kwenda Hospital anangojea kifo tu.Wala hawanipi shida hao. Mti hutambulika kwa matunda yake. Hivi Musiba yuko wapi maana ziko za chinichini.