Geita: Makada 50 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wasimamishwa Uongozi kwa tuhuma za kuhujumu Chama kwenye Uchaguzi

Geita: Makada 50 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wasimamishwa Uongozi kwa tuhuma za kuhujumu Chama kwenye Uchaguzi

[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Wana uhakika gani kama waliowatimua ndio waliowanyima kura?Walikihujumu chama kwa namna gani?
 
Mkuu nguruwe (hasa madume) yana tabia ya kula vitoto vichanga yakiwa na njaa...hilo nmewahi kulishuhudia.....

Maccm ni kama manguruwe, usishangae yakakulana yenyewe...


Wewe ni muongo nguruwe ni wastaarabu hawafanyi hivyo. Ngamia ndio wakikosa chakula hula watoto wao.

Dalmine
(
 
da!!!!,taratibu mkuu....msamehe bure.....
Kwani nimefanyaje unaniombea msamaha? Mimi niliandika kwa admin. Tena jana yeye alikuwa kalala na marekebisho yakafanyika. Kunitukana leo anajiona rijali zaidi? Hapana. Nakataa kabisa.
 
Wapinzani ndio walituchelewesha! Tano zaidi akikataa tumlazimishe
 
Back
Top Bottom