Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Bia yetu itikadi yako inaeleweka vema.Geita tunaenda na Rais Magufuli na Ccm
Mungu ni mwema.Mungu Baba ninatubu kwa dhambi zangu na taifa letu Tz, tuonee huruma, tujalie hekima na busara tukafanye wajibu wetu kupiga,kuhesabu,kutangaza matokeo kura itakayo leta HAKI na ustawi wa taifa letu.Amina
Huyo siyo wa itikadi, yeye hiyo ni ajira (buku 7)Bia yetu itikadi yako inaeleweka vema.
Matokeo yataje na idadi ya watu waliojiandikisha ili tulinganishe na waliopiga kura. Manake wasiopiga kura na pia ni wapiga kura na wanasauti piaWakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Geita una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 na wabunge Walioshinda kwenye hayo majimbo ambayo ni:-
Busanda-
Geita Mjini-
Constantine Kanyasu(CCM) - Kura 30,277
Upendo Peneza(CHADEMA) - Kura 17,272
Geita vijijini-
Joseph Musukuma (CCM) - Kura 31, 520
Neema Chozaile (CHADEMA) - Kura 3,901
Bukombe-
Chato-
Mbogwe-
Nyang'alwe-
ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.