figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amesikitishwa na kitendo cha Mkandarasi MAYANGA CONTRACT LTD Kampuni ya ujenzi iliyopewa Tenda ya kujenga Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita kushindwa kukamilisha kwa wakati ofisi hiyo.
Naye Eng.Makoye Luhya Kwaniaba ya Mkandarasi Mayanga Contractors Amesema Anaishukuru Serikali kwa Kuendelea Kuwalipa Kutokana na Kazi Inayoendelea na Kwamba Anaahidi Kukamilisha Asilimia 10% Iliyobaki Ndani ya Muda Mfupi Kwakuwa Awali Changamoto Ilikuwa ni Upatikanaji wa Vifaa
MY TAKE:
Sasa tutafanyaje? Ukizingatia tenda tulipewa tu bila kuomba🤔