Geita: Mayanga Contracts LTD, imeshindwa kumaliza ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa baada ya Mwenye Kampuni kufa?

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
20220808_150429.jpg

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amesikitishwa na kitendo cha Mkandarasi MAYANGA CONTRACT LTD Kampuni ya ujenzi iliyopewa Tenda ya kujenga Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita kushindwa kukamilisha kwa wakati ofisi hiyo.
20220808_151907.jpg

Naye Eng.Makoye Luhya Kwaniaba ya Mkandarasi Mayanga Contractors Amesema Anaishukuru Serikali kwa Kuendelea Kuwalipa Kutokana na Kazi Inayoendelea na Kwamba Anaahidi Kukamilisha Asilimia 10% Iliyobaki Ndani ya Muda Mfupi Kwakuwa Awali Changamoto Ilikuwa ni Upatikanaji wa Vifaa

MY TAKE:

Sasa tutafanyaje? Ukizingatia tenda tulipewa tu bila kuomba🤔
20220808_145128.jpg
 
View attachment 2317999
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amesikitishwa na kitendo cha Mkandarasi MAYANGA CONTRACT LTD Kampuni ya ujenzi iliyopewa Tenda ya kujenga Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita kushindwa kukamilisha kwa wakati ofisi hiyo.
View attachment 2318004

View attachment 2317990
Wanajuana, ni CCM kwa CCM wapeana tenda na kulipana.
 
Shigella mwenyewe kwa kauli yake ya kusikitishwa ujenzi kuchelewa, bila kuichukulia hatua yoyote, anaonekana kuiheshimu hiyo kampuni licha ya bosi wa kampuni kutokuwepo, inawezekana kuna bosi mwingine bado yupo.
 
Tukimaliza kufukunyua madudu ya Mayanga tunaamia Lake Oil au siyo,mpaka kieleweke.Alafu tunaenda kule Malaysia nasikia kuna kiranja wetu mstaafu kaweka mafungu uko kwenye Bengi!
 
Baba yangu huwa ananiambia ishi na watu vizuri. Baba anapenda kuniambia utizame mwamba wa kunianikia mihogo. Kukiwa asubuhi mwamba hauna kitu kwani jua ndo linachomoza. Ikifika mchana mwamba unaanikwa mihogo(udaga) ila ikifika jioni mwamba hauna tena mihogo kwa kuwa walionika wanaanua mwamba unabaki hauna kitu kama ilivyokuwa asubuhi. Jpm leo akifufuka atajisahihisha namna ya kuishi na viongozi wenzake vizuri. Kila mmoja ataungana na mimi namna bora jpm alivyopambana na vita vya rushwa na ufisadi ila kuna points of miscalculation aliziifanya.
 
View attachment 2317999
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amesikitishwa na kitendo cha Mkandarasi MAYANGA CONTRACT LTD Kampuni ya ujenzi iliyopewa Tenda ya kujenga Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita kushindwa kukamilisha kwa wakati ofisi hiyo.
View attachment 2318004
Naye Eng.Makoye Luhya Kwaniaba ya Mkandarasi Mayanga Contractors Amesema Anaishukuru Serikali kwa Kuendelea Kuwalipa Kutokana na Kazi Inayoendelea na Kwamba Anaahidi Kukamilisha Asilimia 10% Iliyobaki Ndani ya Muda Mfupi Kwakuwa Awali Changamoto Ilikuwa ni Upatikanaji wa Vifaa

MY TAKE:

Sasa tutafanyaje? Ukizingatia tenda tulipewa tu bila kuomba[emoji848]
View attachment 2317990
Naye Eng.Makoye Luhya Kwaniaba ya Mkandarasi Mayanga Contractors Amesema Anaishukuru Serikali kwa Kuendelea Kuwalipa Kutokana na Kazi Inayoendelea na Kwamba Anaahidi Kukamilisha Asilimia 10% Iliyobaki Ndani ya Muda Mfupi Kwakuwa Awali Changamoto Ilikuwa ni Upatikanaji wa Vifaa [emoji15][emoji848]
 
View attachment 2317999
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amesikitishwa na kitendo cha Mkandarasi MAYANGA CONTRACT LTD Kampuni ya ujenzi iliyopewa Tenda ya kujenga Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita kushindwa kukamilisha kwa wakati ofisi hiyo.
View attachment 2318004
Naye Eng.Makoye Luhya Kwaniaba ya Mkandarasi Mayanga Contractors Amesema Anaishukuru Serikali kwa Kuendelea Kuwalipa Kutokana na Kazi Inayoendelea na Kwamba Anaahidi Kukamilisha Asilimia 10% Iliyobaki Ndani ya Muda Mfupi Kwakuwa Awali Changamoto Ilikuwa ni Upatikanaji wa Vifaa

MY TAKE:

Sasa tutafanyaje? Ukizingatia tenda tulipewa tu bila kuomba[emoji848]
View attachment 2317990
Mwenye kampuni yake aliyekufa ni nani ?
 
How's tenda zote walikuwa wanapiga wao...sasa sijui wanafeli wapi

Ova
Labda Ari ya kufanya kazi, kutumia pesa nyingi mno kabla ya kazi ukizingatia walikua na tendency ya kuongezewa pesa nje ya makubaliano.
 
Maboksi kwa maboksi, ndugu wa karibu walijitahidi kuchota ikashindikana. Kuna kijana mpwa wa Magufuli aliyeaminiwa kupita kiasi na marehemu alikimbia na sanduku la maelfu kwa maelfu ya madolari (hii ni kwa mujibu wa Janeth mwenyewe kwa rafiki zake).
Du. Halafu unajua kufariki kwake ilikuwa ni kama ghafla tu. Nasikia japo alikuwa anaumwa lakini hakuna aliyetegemea hali ingebadika ghafla kama ilivyotokea. Kabla alikuwa anaumwa lakini siyo ile kuumwa kwa kutisha lakini ikatokea kama ghafla akapoteza fahamu na ndiyo hakuzinduka tena. Hivyo nadhani vitu vingi vilitakiwa kuwa siri vilikuwa vipo ''open'' kutokana na kukosa muda wa kurekibisha.
 
Back
Top Bottom