figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Kataifishe kwanza banda la Bob makani pale Ufipa stTutataifishe lile jengo la mwenyewe marehemu tuache lile lenye kaburi kufidia hela zetu!
How's tenda zote walikuwa wanapiga wao...sasa sijui wanafeli wapiMahela yao si ndo yale yalikutwa ofisini kwa Magufuli?
Wanajuana, ni CCM kwa CCM wapeana tenda na kulipana.View attachment 2317999
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amesikitishwa na kitendo cha Mkandarasi MAYANGA CONTRACT LTD Kampuni ya ujenzi iliyopewa Tenda ya kujenga Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita kushindwa kukamilisha kwa wakati ofisi hiyo.
View attachment 2318004
Naye Eng.Makoye Luhya Kwaniaba ya Mkandarasi Mayanga Contractors Amesema Anaishukuru Serikali kwa Kuendelea Kuwalipa Kutokana na Kazi Inayoendelea na Kwamba Anaahidi Kukamilisha Asilimia 10% Iliyobaki Ndani ya Muda Mfupi Kwakuwa Awali Changamoto Ilikuwa ni Upatikanaji wa Vifaa
MY TAKE:
Sasa tutafanyaje? Ukizingatia tenda tulipewa tu bila kuomba🤔
View attachment 2317990
Mkuu kuna fedha zilikutwa ofisini? Kiasi gani?Mahela yao si ndo yale yalikutwa ofisini kwa Magufuli?
Naye Eng.Makoye Luhya Kwaniaba ya Mkandarasi Mayanga Contractors Amesema Anaishukuru Serikali kwa Kuendelea Kuwalipa Kutokana na Kazi Inayoendelea na Kwamba Anaahidi Kukamilisha Asilimia 10% Iliyobaki Ndani ya Muda Mfupi Kwakuwa Awali Changamoto Ilikuwa ni Upatikanaji wa Vifaa [emoji15][emoji848]View attachment 2317999
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amesikitishwa na kitendo cha Mkandarasi MAYANGA CONTRACT LTD Kampuni ya ujenzi iliyopewa Tenda ya kujenga Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita kushindwa kukamilisha kwa wakati ofisi hiyo.
View attachment 2318004
Naye Eng.Makoye Luhya Kwaniaba ya Mkandarasi Mayanga Contractors Amesema Anaishukuru Serikali kwa Kuendelea Kuwalipa Kutokana na Kazi Inayoendelea na Kwamba Anaahidi Kukamilisha Asilimia 10% Iliyobaki Ndani ya Muda Mfupi Kwakuwa Awali Changamoto Ilikuwa ni Upatikanaji wa Vifaa
MY TAKE:
Sasa tutafanyaje? Ukizingatia tenda tulipewa tu bila kuomba[emoji848]
View attachment 2317990
Mwenye kampuni yake aliyekufa ni nani ?View attachment 2317999

Labda Ari ya kufanya kazi, kutumia pesa nyingi mno kabla ya kazi ukizingatia walikua na tendency ya kuongezewa pesa nje ya makubaliano.How's tenda zote walikuwa wanapiga wao...sasa sijui wanafeli wapi
Ova
Maboksi kwa maboksi, ndugu wa karibu walijitahidi kuchota ikashindikana. Kuna kijana mpwa wa Magufuli aliyeaminiwa kupita kiasi na marehemu alikimbia na sanduku la maelfu kwa maelfu ya madolari (hii ni kwa mujibu wa Janeth mwenyewe kwa rafiki zake).Mkuu kuna fedha zilikutwa ofisini? Kiasi gani?
Du. Halafu unajua kufariki kwake ilikuwa ni kama ghafla tu. Nasikia japo alikuwa anaumwa lakini hakuna aliyetegemea hali ingebadika ghafla kama ilivyotokea. Kabla alikuwa anaumwa lakini siyo ile kuumwa kwa kutisha lakini ikatokea kama ghafla akapoteza fahamu na ndiyo hakuzinduka tena. Hivyo nadhani vitu vingi vilitakiwa kuwa siri vilikuwa vipo ''open'' kutokana na kukosa muda wa kurekibisha.Maboksi kwa maboksi, ndugu wa karibu walijitahidi kuchota ikashindikana. Kuna kijana mpwa wa Magufuli aliyeaminiwa kupita kiasi na marehemu alikimbia na sanduku la maelfu kwa maelfu ya madolari (hii ni kwa mujibu wa Janeth mwenyewe kwa rafiki zake).