Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Mkazi wa Geita, Yusuph Mlale amehukumiwa miaka 30 gerezani baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji.
Akiomba nafuu wakati wa hukumu, Mlale alimuomba hakimu ampe nafuu kwenye adhabu kwasababu alikamatwa na wananchi wenye hasira kali ambao walimpa kichapo kwanza kabla ya kumfikisha kwenye vyombo vya Usalama huku akionesha majeraha aliyonayo mwilini vilivyosababishwa na mkong'oto.
Mwananchi akitoa maoni baada ya hukumu, amewataka watu kufikiri kabla ya kutekeleza kila wanachoambiwa na Mganga.