Hata yule dikteta uchwaa ni wa huko huko GeitaWhy Geita?
Mbona huu mkoa una matukio mengi ya hovyo hovyo?
Mkoa umejaa wachimbaji na wadangajiWhy Geita?
Mbona huu mkoa una matukio mengi ya hovyo hovyo?
Hii sheria imekaa kukomoa zaidi badala ya kurekebisha' watungaji wa sheria waliongozwa na mihemko ya kike' ukiangalia rate ya matukio badala ya kupungua kutokana na uwepo wa sheria kali, kinyume chake yanaongezeka. Imesaidiaje!?Kwani kipigo cha wananchi ni mbadala wa miaka ya kutumikia jela?
Anyway hii adhabu ya miaka 30 itazamwe upya..tunapoteza nguvu kazi kubwa sana wapigwa hata 15 inatosha.
#MaendeleoHayanaChama
Taifa halihitaji nguvu kazi ya wabakajiKwani kipigo cha wananchi ni mbadala wa miaka ya kutumikia jela?
Anyway hii adhabu ya miaka 30 itazamwe upya..tunapoteza nguvu kazi kubwa sana wapigwa hata 15 inatosha.
#MaendeleoHayanaChama
Ushirikina na ubakaji vinaendaje?Mkoa umejaa wachimbaji na wadangaji
Wachimbaji wamejaa ushirikina na nyegezi.
Matokeo yake kila MTU anaonekana kitoweo
Miye nilifikiri afe kabisa mkuu, wee fikiria mtoto wa miaka 3 au 5 unapata raha gani?Kwani kipigo cha wananchi ni mbadala wa miaka ya kutumikia jela?
Anyway hii adhabu ya miaka 30 itazamwe upya..tunapoteza nguvu kazi kubwa sana wapigwa hata 15 inatosha.
#MaendeleoHayanaChama
Mambo ya uchimbaji mkuu ni mengi. Kutwa kucha wanashinda kwa waganga wapate Mali so ni mwendo wa kupewa masharti tuu.Ushirikina na ubakaji vinaendaje
Uislamu umeshaeleza vizuri hukmu za maisha yetu hpa duniani kma Alivoagiza MuumbaHii sheria imekaa kukomoa zaidi badala ya kurekebisha' watungaji wa sheria waliongozwa na mihemko ya kike' ukiangalia rate ya matukio badala ya kupungua kutokana na uwepo wa sheria kali, kinyume chake yanaongezeka. Imesaidiaje!?
Sheria hii pamoja na ile nyingine ya kugawana 50/50 mnapotalikiana zinaharibu sana maisha na mustakabali wa jamii yetu.
Ni kama sheria imetengeneza biashara nono ya kuolewa na kuachwa! Kitu ambacho tayari ni mgogoro kabla hata ya mgogoro wenyewe! Inaharibu maadili na mwisho muathirika anaona bora nife au nimuue tu!