TUKIO: Alitekwa jana majira ya saa tatu akiwa karibu na duka lake.
WATEKAJI: Walikuja na gari aina ya landcruiser yenye vioo tinded wakapaki karibu yake wakashuka watu kama watatu hivi wakamkamata kwa nguvu kwa kumvamia na kumuingiza kwenye ngari baadaye kuondoa gari kwa harakaharaka na kutokomea kusikojulikana.
UFUATILIAJI: Familia na uongozi walifuatitia kituo cha polisi lkn kituoni wakakana kuhusika na kuwa huyo mchungaji hakuwa hapo kituoni.
WASIFU WA MCH. Ni kijana makadilio ni miaka isiyozidi 28, mke na mtoto mmoja. Na hakuwahi kujihusisha na siasa kwa namna yeyote.
KAZI:
1. Uchungaji- Ana kanisa mtaa wa Ntengele yaani kutoka lami uelekeo wa Kaskazini unapita sheli ya ndono, miembeni na ukivuka tu mbuga kanisa lake lipo mkona wa kushoto.
2. Biashara- duka dogo, alikuwa na duka ndo lina miezi isiyozidi 4, na ndo alipotekewa. Duka lipo mtaa wa Ntengele kona karibu na duka la Matheo yaani ukiwa na barabara ya kutoka kilimahewa ikivuka mashine ya mbasa kwa mbele kidogo.
WITO KWA NAIBU WAZIRI MKUU, NA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOMBE.
Tunaomba msaada wananchi wako, uelekeze vyombo vya usalama watusaidie kumtafuta mpendwa wetu, kwani agalau kauli yako inaweza ikasaidia uharaka wa ufatiliaji wa jambo hili.
Zaidi ni kuwa wananchi mpaka sasa hatuna amani ktk mtaa huu maana hutujui baada ya mch kutekwa anayefuata ni nani?