Geita: Mchungaji wa GGIS atekwa wilayani Bukombe akiwa dukani kwake

Nilichogundua kuna kila namna taarifa za watumiaji wa watumiaji wa hii mitandao ya kijamii hususani hii ya hapa kwetu zinavujishwa kwa malengo fulani fulani.

Huyo mch. hata kama alikuwa anatumia utambulisho bandia na akawa anakosoa wasiojulikana huko mitandaoni nashawishika kuamini taarifa zake zimevujishwa.

Mfano hata utumie PROXY / VPN kuingia JF utaficha location tu lakini taarifa zako zipo kwenye server za JF. Email uliyojiunga nayo JF, na bado unaotumia kwenye mitandao mingine hiyo VPN haitasaidia chochote. Vinginevyo iwe kila kitu uwe umetumia kila kitu bandia.

SIJASEMA HUKU JF wanatoa au kuvujisha taarifa za watembeleaji na wanachama wake.
 
WASIFU WA MCH. Ni kijana makadilio ni miaka isiyozidi 28, mke na mtoto mmoja. Na hakuwahi kujihusisha na siasa kwa namna yeyote.🥺🥺🥺
 
Unauhakika huyo jamaa alikua mchungaji....???? Alifungua kanisa lini?? Kwann kanisa?? Kabla ya kufungua kanisa ALITOKA wapi??? Anaitwa nani?? Unaifahamu historia yake?

Nini maana ya utekaji?? Nini tofauti ya kukamata na kuteka??
Kuteka ni kumchukua mtu bila taarifa na bila ya wanaomjua kujua kapelekwa wapi

Maswali yako si sahihi, kwa sababu kama ana makosa basi hupelekwa polisi Kisha mahakamani kusomewa mashtaka yake
 
TUKIO: Alitekwa jana majira ya saa tatu akiwa karibu na duka lake.

WATEKAJI: Walikuja na gari aina ya landcruse nyenye vioo tinded wakapaki karibu yake wakashuka watu kama watatu hivi wakamkamata kwa nguvu kwa kumamvamia na kumuingiza kwenye ngari baadaye kuondoa gari kwa harakaharaka na kutokomea kusikojulikana.

UFUATILIAJI: familiya na uongozi walifuatitia kituo cha polisi lkn kituoni wakakana kuhusika na kuwa huyo mch hakuwa hapo kituoni.

WASIFU WA MCH. Ni kijana makadilio ni miaka isiyozidi 28, mke na mtoto mmoja. Na hakuwahi kujihusisha na siasa kwa namna yeyote.

KAZI:
1. Uchungaji- Ana kanisa mtaa wa Ntengele yaani kutoka lami uelekeo wa kaskazini unapita sheli ya ndono, miembeni na ukivuka tu mbuga kanisa lake lipo mkona wa kushoto.
2. Biashara- duka dogo, alikuwa na duka ndo lina miezi isiyozidi 4, na ndo alipotekewa. Duka lipo mtaa wa ntengele kona karibu na duka la Matheo yaani ukiwa na barabara ya kutoka kilimahewa ikivuka mashine ya mbasa kwa mbele kidogo.

WITO KWA NAIBU WAZIRI MKUU, NA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOMBE.
Tunaomba msaada wananchi wako, uelekeze vyombo vya usalama watusaidie kumtafuta mpendwa wetu, kwani agalau kauli yako inaweza ikasaidia uharaka wa ufatiliaji wa jambo hili.

Zaidi ni kuwa wananchi mpaka sasa hatuna amani ktk mtaa huu maana hutujui baada ya mch kutekwa anayefuata ni nani?

Watanganyika tuamke kuna jambo linakuja .

Watanganyika sisi hatuna historia ya kubaguana kidini wala kikabila.

Hebu tutafakari kidogo mambo haya:
Waliokua wanafanya mauaji kule Kibiti walikua wanafadhiliwa na nani?
Nani hasa alikua anaingiza silaha kule Kibiti ?
Nani hasa alikua anadhamini Makambi yaliyokuwa yanawaandaa vijana na watoto Kuwa magaidi. ?
Je, wale waliokua wanatumia dini kuhamasisha vijana Kuwa magaidi walikua wanafadhiliwa na nani?
Wale waliokua wanachoma makanisa kule Zanzibar walikua wametumwa na nani na walikua wanafadhiliwa na nani ?
Nyumba za Ibada zilizokua zinatumika kufanya mazoezi ya kigaidi zilikua zinajengwa kwa ufadhili wa nani maana nyingi zilikua zinajengwa ghafla bila kusikia michango ya ujenzi?
Kwa nini mauaji ya Kibiti yalikua yanalenga Wana CCM wakati ule lakini sasa zinalenga Chadema ?
Kwa nini wakristo waliaminishwa Kuwa CUF ni chama cha kidini na sasa Chadema inaaminishwa ni chama cha kidini pia.?
Nani anayeruhusu wafadhili wa matendo haya ya kigaidi kupenyeza silaha na fedha za kufadhili unyama na mauaji yaliyotokea kibiti kwa Makada wa CCM na sasa yanayoendelea nchi nzima kwa Makada wa Chadema?
Kwa nini kwa sasa wakrusto wanaonekana Kuwa eti wanamkosoa Samia kwa sababu ni muislam bila kujali Kuwa Tangu Uhuru wakristo wamekua wakiikosoa sana serikali zote pale zinapokiuka haki za watu kisiasa kijamii na kiutamaduni pia
 
TUKIO: Alitekwa jana majira ya saa tatu akiwa karibu na duka lake.

WATEKAJI: Walikuja na gari aina ya landcruiser yenye vioo tinded wakapaki karibu yake wakashuka watu kama watatu hivi wakamkamata kwa nguvu kwa kumvamia na kumuingiza kwenye ngari baadaye kuondoa gari kwa harakaharaka na kutokomea kusikojulikana.

UFUATILIAJI: Familia na uongozi walifuatitia kituo cha polisi lkn kituoni wakakana kuhusika na kuwa huyo mchungaji hakuwa hapo kituoni.

WASIFU WA MCH. Ni kijana makadilio ni miaka isiyozidi 28, mke na mtoto mmoja. Na hakuwahi kujihusisha na siasa kwa namna yeyote.

KAZI:
1. Uchungaji- Ana kanisa mtaa wa Ntengele yaani kutoka lami uelekeo wa Kaskazini unapita sheli ya ndono, miembeni na ukivuka tu mbuga kanisa lake lipo mkona wa kushoto.
2. Biashara- duka dogo, alikuwa na duka ndo lina miezi isiyozidi 4, na ndo alipotekewa. Duka lipo mtaa wa Ntengele kona karibu na duka la Matheo yaani ukiwa na barabara ya kutoka kilimahewa ikivuka mashine ya mbasa kwa mbele kidogo.

Hamkupiga picha hilo gari
 
Na hawa watekaji nao walikuja na silaha au? Mana si tulikubaliana wananchi kushirikiana pindi mtu anapotaka kutekwa. Yule wa kwenye basi ilisemwa jamaa walikuja na silaha! Sawa! Vipi na huyu mchungaji naye?
TUKIO: Alitekwa jana majira ya saa tatu akiwa karibu na duka lake.

WATEKAJI: Walikuja na gari aina ya landcruiser yenye vioo tinded wakapaki karibu yake wakashuka watu kama watatu hivi wakamkamata kwa nguvu kwa kumvamia na kumuingiza kwenye ngari baadaye kuondoa gari kwa harakaharaka na kutokomea kusikojulikana.

UFUATILIAJI: Familia na uongozi walifuatitia kituo cha polisi lkn kituoni wakakana kuhusika na kuwa huyo mchungaji hakuwa hapo kituoni.

WASIFU WA MCH. Ni kijana makadilio ni miaka isiyozidi 28, mke na mtoto mmoja. Na hakuwahi kujihusisha na siasa kwa namna yeyote.

KAZI:
1. Uchungaji- Ana kanisa mtaa wa Ntengele yaani kutoka lami uelekeo wa Kaskazini unapita sheli ya ndono, miembeni na ukivuka tu mbuga kanisa lake lipo mkona wa kushoto.
2. Biashara- duka dogo, alikuwa na duka ndo lina miezi isiyozidi 4, na ndo alipotekewa. Duka lipo mtaa wa Ntengele kona karibu na duka la Matheo yaani ukiwa na barabara ya kutoka kilimahewa ikivuka mashine ya mbasa kwa mbele kidogo.

WITO KWA NAIBU WAZIRI MKUU, NA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOMBE.
Tunaomba msaada wananchi wako, uelekeze vyombo vya usalama watusaidie kumtafuta mpendwa wetu, kwani agalau kauli yako inaweza ikasaidia uharaka wa ufatiliaji wa jambo hili.

Zaidi ni kuwa wananchi mpaka sasa hatuna amani ktk mtaa huu maana hutujui baada ya mch kutekwa anayefuata ni nani?
 
Nilichogundua kuna kila namna taarifa za watumiaji wa watumiaji wa hii mitandao ya kijamii hususani hii ya hapa kwetu zinavujishwa kwa malengo fulani fulani.

Huyo mch. hata kama alikuwa anatumia utambulisho bandia na akawa anakosoa wasiojulikana huko mitandaoni nashawishika kuamini taarifa zake zimevujishwa.

Mfano hata utumie PROXY / VPN kuingia JF utaficha location tu lakini taarifa zako zipo kwenye server za JF. Email uliyojiunga nayo JF, na bado unaotumia kwenye mitandao mingine hiyo VPN haitasaidia chochote. Vinginevyo iwe kila kitu uwe umetumia kila kitu bandia.

SIJASEMA HUKU JF wanatoa au kuvujisha taarifa za watembeleaji na wanachama wake.
Upo sahihi 99%. Mtu anaweza kuwa hajihusishi na siasa kwa umbo la nje lakini kimtandao ni keyboard warrior mzuri tu, mwisho wa siku atawindwa. Au kuna namna fulani anafanya mambo kimya kimya jamii haioni.
 
Aiseee it is very scaring 😭😭😭
 
Watanganyika tuamke kuna jambo linakuja .

Watanganyika sisi hatuna historia ya kubaguana kidini wala kikabila.

Hebu tutafakari kidogo mambo haya:
Waliokua wanafanya mauaji kule Kibiti walikua wanafadhiliwa na nani?
Nani hasa alikua anaingiza silaha kule Kibiti ?
Nani hasa alikua anadhamini Makambi yaliyokuwa yanawaandaa vijana na watoto Kuwa magaidi. ?
Je, wale waliokua wanatumia dini kuhamasisha vijana Kuwa magaidi walikua wanafadhiliwa na nani?
Wale waliokua wanachoma makanisa kule Zanzibar walikua wametumwa na nani na walikua wanafadhiliwa na nani ?
Nyumba za Ibada zilizokua zinatumika kufanya mazoezi ya kigaidi zilikua zinajengwa kwa ufadhili wa nani maana nyingi zilikua zinajengwa ghafla bila kusikia michango ya ujenzi?
Kwa nini mauaji ya Kibiti yalikua yanalenga Wana CCM wakati ule lakini sasa zinalenga Chadema ?
Kwa nini wakristo waliaminishwa Kuwa CUF ni chama cha kidini na sasa Chadema inaaminishwa ni chama cha kidini pia.?
Nani anayeruhusu wafadhili wa matendo haya ya kigaidi kupenyeza silaha na fedha za kufadhili unyama na mauaji yaliyotokea kibiti kwa Makada wa CCM na sasa yanayoendelea nchi nzima kwa Makada wa Chadema?
Kwa nini kwa sasa wakrusto wanaonekana Kuwa eti wanamkosoa Samia kwa sababu ni muislam bila kujali Kuwa Tangu Uhuru wakristo wamekua wakiikosoa sana serikali zote pale zinapokiuka haki za watu kisiasa kijamii na kiutamaduni pia
Haya umeleta wewe mtoa mada we all against Evil
 
TUKIO: Alitekwa jana majira ya saa tatu akiwa karibu na duka lake.

WATEKAJI: Walikuja na gari aina ya landcruiser yenye vioo tinded wakapaki karibu yake wakashuka watu kama watatu hivi wakamkamata kwa nguvu kwa kumvamia na kumuingiza kwenye ngari baadaye kuondoa gari kwa harakaharaka na kutokomea kusikojulikana.

UFUATILIAJI: Familia na uongozi walifuatitia kituo cha polisi lkn kituoni wakakana kuhusika na kuwa huyo mchungaji hakuwa hapo kituoni.

WASIFU WA MCH. Ni kijana makadilio ni miaka isiyozidi 28, mke na mtoto mmoja. Na hakuwahi kujihusisha na siasa kwa namna yeyote.

KAZI:
1. Uchungaji- Ana kanisa mtaa wa Ntengele yaani kutoka lami uelekeo wa Kaskazini unapita sheli ya ndono, miembeni na ukivuka tu mbuga kanisa lake lipo mkona wa kushoto.
2. Biashara- duka dogo, alikuwa na duka ndo lina miezi isiyozidi 4, na ndo alipotekewa. Duka lipo mtaa wa Ntengele kona karibu na duka la Matheo yaani ukiwa na barabara ya kutoka kilimahewa ikivuka mashine ya mbasa kwa mbele kidogo.

WITO KWA NAIBU WAZIRI MKUU, NA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOMBE.
Tunaomba msaada wananchi wako, uelekeze vyombo vya usalama watusaidie kumtafuta mpendwa wetu, kwani agalau kauli yako inaweza ikasaidia uharaka wa ufatiliaji wa jambo hili.

Zaidi ni kuwa wananchi mpaka sasa hatuna amani ktk mtaa huu maana hutujui baada ya mch kutekwa anayefuata ni nani?
alipatikana mkuu?
 
Back
Top Bottom