Geita. Mjamzito auawa kikatili kwa kuchinjwa, wauaji nao wauawa

Hebu fafanua vizuri
Waheshimiwe watoto wakambo mama huyo alitakiwa kuomba talaka endapo alihsi kijana huyo kwake nikizingiti ,sio kuaza kum-beza kwenye mambo muhimu ya familia ,wapendeni ndo hao panyaroad kitaa
 
Kijana miaka 25 Tamaa ya Mali ya Nini siutafute zako mbona mda unao mzuri
 
Wasiojulikana wamejaa sana kanda ya ziwa.

Hawa wanaogombea mashamba mpaka wanauana ukimpa Milioni tano tu ananitoa roho mimi Rastaman
 
mtoto tangu anamiaka 5 anachunga mifugo anafikisha miaka 30 babake anachukua sehemu ya mali hiyo kuolea mke mwingine unadhani matokeo yake nn?
 
Kijana miaka 25 Tamaa ya Mali ya Nini siutafute zako mbona mda unao mzuri
Hizi familia na tamaduni za ki-tz mambo huanzia mbali.

Unakuta kuna uvumi kwenye famili na mtaa mzima kwamba Mama wa kambo ndiye aliyemuua Mama au alisababisha mama aachwe

Hivyo kunakuwa na mlundikano wa chuki za muda mrefu sana
 
Kwahiyo unatakiwa uue
 
Labda huyo mzee mke wake wa kwanza amekufa, kwanini asioe tena wakati ana nguvu, au unataka aanze kuimba pambio la vijana wa hovyo, " KATAA NDOA"?
Wazee wengine wako hovyo sana. Unakuta familia ina maisha magumu sana badala ajijenge kwanza anakimbilia kuoa.
Vijana wamekuwa kwa shida na hata kile kilichopo Baba anachukua kutoa mahari.

Sasa unakuta vijana hawamwezi baba wanakimbilia kwa wanayemuonea.
 
Madaraka ya Ubunge na Urais tu wa miaka mitano watu wanaalipuana Risasi na kubambikiziwa kesi za ubakaji mtu akaozee jela unazungumzia Mali za mtu maskini anazotegemea kukunja mkono kinywani??
 
Yaani habari ipo hovyo hovyo, haieleweki, huyu kamchinja huyu, huyu kamuua yule, mara mtoto wa kambo, mara baba sijui nini, khaa
 
Vijana wawili wa familia moja wakazi wa kitongoji cha Kilimahewa kata ya Ludete mkoani Geita, wameuwawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kumuua mama yao wa kambo Renatha Elias ambaye alikuwa mjamzito wa miezi saba kwa kumkata shingo.

Mwenyekiti wa kitongoji cha Kilimahewa amesema vijana hao pia walimjeruhi baba yao mzazi kwa kumchoma na visu na kwa sasa yupo hospitali anapatiwa matibabu.
 
Habari haijakamilika kabisa maana chanzo change cha taarifa kinasema vijana hao walikuwa wanne na walliua mama yao wa kambo & hosegirl
 
Umeongea point, sema kufikia kuua ni maamuzi yasio faa ila na sisi wazazi tujitafakari kuhusu mstakabari wa wanetu kuliko kujari nafasi zetu tu
 
Madaraka ya Ubunge na Urais tu wa miaka mitano watu wanaalipuana Risasi na kubambikiziwa kesi za ubakaji mtu akaozee jela unazungumzia Mali za mtu maskini anazotegemea kukunja mkono kinywani??
Ndo unafyeka watoto, wanawake!! Bado kuna namna nyingine ingeweza kufanyika zaidi ya kuchukua hizo nafsi.

Hao wanasiasa mi nimewatoa kitambo katika kundi la binadamu wa kawaida hivyo sishangai wakifanya lolote.......kuua albino n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…