Geita: Mwanafunzi aliyepotea akutwa amefariki dunia pembeni ya mto huku jicho likiwa limetobolewa na nyayo kusagwa

Huko Geita inabidi zichukuliwe hatua mahususi kutafuta na kukomesha chanzo cha haya mauaji maana naona yamekuwa mengi mno
 
Unamuua mtoto wa mwenzako kinyama namna hiyo kwa tamaa za vipesa vya kubadilishia mboga hapo Nyankumbu
 
Kwa hali kama hiyo acha wafiwa walipize kisasi kwa mtenda kosa kwa namna yoyote tu.
 
Ooooh mtoto mzuri what a painful and brutal way to die.Mungu awape faraja ya kudumu wazazi na ndugu zake.
Waliofanya ukatili tunawakabidhi pia kwa Mungu ashughulike nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…