Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamuua mtoto wa mwenzako kinyama namna hiyo kwa tamaa za vipesa vya kubadilishia mboga hapo Nyankumbu
Hawa jamaa wanaendekeza na kuuamini sana ushirikina. Mauaji ya vikongwe, wao! mauaji ya fisi, wao! mauji ya walemavu wa ngozi, wao! Na sasa wamehamia kwa watoto!
Kanda ya Ziwa inaongiza kwa ushirikina ndio maana mauaji ya ajabu ajabu hayakomi.Mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi Buhalahala iliyopo halmashauri ya mji wa Geita, Johnson Thomas amekutwa amefariki pembeni ya mto siku sita baada ya kupotea, huku mwili wake ukiwa umetobolewa jicho na kusagwa unyayo.
View attachment 2268629