Geita: Mwanafunzi wa Kidato cha 2 auawa baada ya kutuhumiwa kuiba kuni kwenye Shamba la Miti

Geita: Mwanafunzi wa Kidato cha 2 auawa baada ya kutuhumiwa kuiba kuni kwenye Shamba la Miti

Ningekuwa rais huyu leo asingemaliza siku akiwa hai...!!
 
Akina mama wa Geita mbona hamuonekani mmejifungia ndani mwenu? Najua wengi wenu mtajibu haituhusu, kwani mtoto wetu. Watanzania bado hatujitambui na hatupendani pia hatushirikiani penye maonevu.
 
RIP Naomi.
Sheria ifuate mkondo wake, na haki ipatikane.
 
Back
Top Bottom