Geita: Mwanamke aiba mtoto wa miezi mitatu kunusuru ndoa yake

Geita: Mwanamke aiba mtoto wa miezi mitatu kunusuru ndoa yake

Kamuiba hospital mara tuu baada ya kuzaliwa, mama mtoto alikua hoi.
Ni mama aliekua anamsaidi ndio inasemakana alimchukua
Mmmmh!!! Mungu atuondolee changamoto hizi
 
Back
Top Bottom