Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Mkazi wa Kijiji cha Saragulwa, Wilaya na Mkoa wa Geita, Wambura Nyalang’o, ameiomba Serikali kumsaidia kupata ufumbuzi wa changamoto ya leseni ya utafiti wa madini inayodaiwa kuwepo katika eneo analomiliki, ili aweze kupata kibali cha kujenga kiwanda cha kuchakata dhahabu.
Wambura Nyalang’o akieleza changamoto inayomkabili katika eneo lake lililopo Kijiji cha Saragulwa, ambako anatarajia kujenga kiwanda cha kuchakata madini ya dhahabu.
Anasema amekuwa akimiliki na kutumia eneo hilo kwa shughuli za kilimo bila changamoto, lakini alipofika katika Ofisi ya Madini Mkoa wa Geita kuomba kibali cha kujenga kiwanda, alielezwa kuwa eneo hilo tayari lina leseni ya utafiti wa madini inayomilikiwa na kampuni nyingine.
-Eneo la kifamilia lililokuwa likilimwa kwa miaka mingi iliyopita ghafla........
Taarifa ya August 20, 2026