Uchaguzi 2020 Geita: Nyumba ya Mgombea Ubunge Chato wa CHADEMA Massai, yadaiwa kuchomwa moto na kubomolewa

wanajiponda wenyewe ili wasingizie serikali, kule Hai walienda na marungu na mipini walikodi wahuni kutoka rombo
Yote yanawezekana, police watakuja na habari kamili.
 
Dhuluma, hujuma na kila tone linaongeza nguvu na ari kusaka uhuru na haki toka mkoloni mweusi.Poleni sana wahanga. Nashauri CDM wawe na utaratibu kuratibu wahanga na kutangaza Watanzania wema tuwasitiri.
 
Utachukia kisha ufe, kama arusha mlichoma wenyewe sasa iweje hapo chato?
Huko mbea mmemuuwa mtu wenu nyie wenyewe, sasa hapo mbna hujachukia?
Mliuwa kijana wa ccm mbeya mtwara dodoma, mbona sijaona tamko lako hapo?
Au wao ilikuwa haki wafe?
Shagal kabisa wewe.
 
Tukiendekeza mambo haya ndugu zangu nchi haitakwenda kabisa yaani just imagine kuna watu walikuwa wanamipango ya kuchoma hata nyumba yao wenyewe ili waopate populality kwa society nawakumbusha kuna maishsa baada ya kampeni.
 
Acheni uhuni hapo moto uko wapi
 
[emoji16]
 
Vijana wengi wa humu jf hawaielewi nguvu ya chadema chato
 

Hayo matendo pia yalitokea kwenye jimbo la waziri Mkuu Majaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…