Geita: Wahitimu wagombania Msichana, mmoja atuhumiwa kumuua mwenzake

Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia na kumhoji Lameck Isack, mhitimu wa Kidato cha nne mwaka 2026, kwa tuhuma za kumuua David Lucas, aliyekuwa mwenzake kwa kumchoma kwa kitu chenye ncha kali shingoni na ubavuni upande wa kulia.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa waandishi wa habari leo Ijumaa, Oktoba 30, 2026, na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo, tukio hilo lilitokea Alhamisi, Oktoba 29, 2026, saa 8 mchana Kijiji cha Mhama, Kata ya Namonge, Wilaya ya Bukombe, mkoani Geita.

Kamanda Jongo amesema kabla ya tukio hilo, mtuhumiwa, marehemu na vijana wengine watatu walikutana katika kijiwe kwa mazungumzo.Wote walikuwa wahitimu wa Kidato cha nne mwaka 2026 Shule ya Sekondari Said Nkumba.
Amesema muda mfupi baada ya kukutana, kulitokea mabishano kati ya mtuhumiwa na marehemu, ambayo yaligeuka ugomvi baada ya kila mmoja kudai kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msichana mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa.

Msichana huyo pia ni mhitimu wa Kidato cha nne katika shule hiyo.Katika ugomvi huo, mtuhumiwa anadaiwa kumchoma marehemu kwa kitu chenye ncha kali shingoni na ubavuni upande wa kulia, hali iliyosababisha kifo chake muda mfupi baadaye.

Kamanda Jongo ametaja wivu wa kimapenzi kuwa chanzo cha tukio hilo.Amesema mwili wa marehemu ulifanyiwa uchunguzi wa kitaalamu na kukabidhiwa kwa ndugu zake kwa ajili ya mazishi, huku polisi wakiendelea na uchunguzi ili mtuhumiwa afikishwe mahakamani.

Katika hatua nyingine, Kamanda Jongo ametoa wito kwa wazazi na walezi kuimarisha malezi, maadili na uangalizi wa watoto wao, ikiwemo kufuatilia makundi wanayoshirikiana nayo na kuwapa mwongozo na ushauri sahihi.

Chanzo : Mwananchi
Watoto hawa wajinga kweli.
 
Umeona mauaji tu?

Swala la hao watoto kujihusisha na mapenzi sio tatizo?

Au tatizo likifanywa na watoto wa Pwani tu ila na watoto wa Geita sio tatizo?

Vipi kuhusu maadili ya hao watoto ni mazuri au mabaya?

Na vipi kuhusu dini yao ya ukristo imefanikiwa au imeshindwa kuwarekebisha?
Nimeona video kama kumi za watoto wa Pwani wanacheza wanainua makalio juu juu kama feni au wanatukana hovyo hadharani. Kwa tukio moja la mauaji unataka nifanye majumuisho ya watoto wa jamii nzima?!
 
Namonge Runzewe
Hasara kwa wazazi
 
Nimeona video kama kumi za watoto wa Pwani wanacheza wanainua makalio juu juu kama feni au wanatukana hovyo hadharani. Kwa tukio moja la mauaji unataka nifanye majumuisho ya jamii nzima?!
Kwahiyo kwako kubinua makalio juu ni jambo baya sana kuliko kuua?

Kwako kuua ni jambo la kwaida sana na ni maadili mema kuliko kubinua makalio?

Halafu swala la wanafunzi kuuana kisa wanawake sio tukio la kwanza uko mikoani unapopasifia kuna maadili.

Kuna matukio ya hovyo mengi tu uko mikoani mwenu sema tunapotezea tu kwa kujua kwamba haya mambo hayana dini wala kabila ni janga la kila sehemu Tanzania hii.
 
Umeona mauaji tu?

Swala la hao watoto kujihusisha na mapenzi sio tatizo?

Au tatizo likifanywa na watoto wa Pwani tu ila na watoto wa Geita sio tatizo?

Vipi kuhusu maadili ya hao watoto ni mazuri au mabaya?

Na vipi kuhusu dini yao ya ukristo imefanikiwa au imeshindwa kuwarekebisha?
Yeye na wenzake wana selective outrage
Suala hilo hilo kwa muIslam wanahusisha dini nzima na jamii yote
Ila huko kwao ni isolated incidence
Iko hivyo dunia nzima
 
Wakiristo ni wauaji na ndio wameuana oct29 halafu wanamsingizia samia wakati hakushika hata kiwembe
 
Umeona mauaji tu?

Swala la hao watoto kujihusisha na mapenzi sio tatizo?

Au tatizo likifanywa na watoto wa Pwani tu ila na watoto wa Geita sio tatizo?

Vipi kuhusu maadili ya hao watoto ni mazuri au mabaya?

Na vipi kuhusu dini yao ya ukristo imefanikiwa au imeshindwa kuwarekebisha?
Ndio maana ukisema maneno usimalize yote,watoto wa pwani wao ni waislamu na hawauani,ila wa Bara ni walagatia na wanauana, wapi wa hovyo hapo?

Akikujibua nitag
 
Umeona mauaji tu?

Swala la hao watoto kujihusisha na mapenzi sio tatizo?

Au tatizo likifanywa na watoto wa Pwani tu ila na watoto wa Geita sio tatizo?

Vipi kuhusu maadili ya hao watoto ni mazuri au mabaya?

Na vipi kuhusu dini yao ya ukristo imefanikiwa au imeshindwa kuwarekebisha?
Dini ni nini mkuu?
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia na kumhoji Lameck Isack, mhitimu wa Kidato cha nne mwaka 2026, kwa tuhuma za kumuua David Lucas, aliyekuwa mwenzake kwa kumchoma kwa kitu chenye ncha kali shingoni na ubavuni upande wa kulia.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa waandishi wa habari leo Ijumaa, Oktoba 30, 2026, na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo, tukio hilo lilitokea Alhamisi, Oktoba 29, 2026, saa 8 mchana Kijiji cha Mhama, Kata ya Namonge, Wilaya ya Bukombe, mkoani Geita.

Kamanda Jongo amesema kabla ya tukio hilo, mtuhumiwa, marehemu na vijana wengine watatu walikutana katika kijiwe kwa mazungumzo.Wote walikuwa wahitimu wa Kidato cha nne mwaka 2026 Shule ya Sekondari Said Nkumba.
Amesema muda mfupi baada ya kukutana, kulitokea mabishano kati ya mtuhumiwa na marehemu, ambayo yaligeuka ugomvi baada ya kila mmoja kudai kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msichana mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa.

Msichana huyo pia ni mhitimu wa Kidato cha nne katika shule hiyo.Katika ugomvi huo, mtuhumiwa anadaiwa kumchoma marehemu kwa kitu chenye ncha kali shingoni na ubavuni upande wa kulia, hali iliyosababisha kifo chake muda mfupi baadaye.

Kamanda Jongo ametaja wivu wa kimapenzi kuwa chanzo cha tukio hilo.Amesema mwili wa marehemu ulifanyiwa uchunguzi wa kitaalamu na kukabidhiwa kwa ndugu zake kwa ajili ya mazishi, huku polisi wakiendelea na uchunguzi ili mtuhumiwa afikishwe mahakamani.

Katika hatua nyingine, Kamanda Jongo ametoa wito kwa wazazi na walezi kuimarisha malezi, maadili na uangalizi wa watoto wao, ikiwemo kufuatilia makundi wanayoshirikiana nayo na kuwapa mwongozo na ushauri sahihi.

Chanzo : Mwananchi
Tumechoka na akili za watu wa hiyo sehemu, huwa siwaelewagi hata kidogo. Juzi mwingine anamwambia RPC kuwa hajalala na mwanamke kwa kipindi cha miezi mitano. Sijui huko Geita kuna shida gani? Mwenda zake alikuwa anafanya mambo ya ajabu ajabu, leo ameiacha nchi yetu kwenye janga kubwa, Kuna huyo Makonda aka Paul Bashite naye sijui kama anajua analofanya, naye ni product ya huko huko. Kwa taarifa angalieni takwimu za ubakaji na mauaji, huo mkoa unaongoza kwa ujinga huo.
 
Nani kasema wanamfunga huyo dogo?
Polisi wanasema wanaendelea na uchunguzi ili afikishwe mahakamani. La kumfunga umesoma wapi?
Polisi wanafanya uchunguzi wa nini? Na huko mahakamani afikishwe lwa lipi??
 
Mkuu
Labda nikusaidie Kidogo kukufumbua akili Macho na Kutoa Ujinga.

Ukristo Sio Dini.
Ukristo ni Imani thabiti ya Kumfuata na Kumuamini Yesu Kristo, kwa Kutenda Mema sawa sawa na Yesu alivyokuwa mwema au sawa sawa na Mafundisho yake.

Ukristo Sio Jina kama Pascal, Christopher
Lameck, Edward, Julius, Sarah, Christina victoria nk

Matendo ya Kikristo yesu au Mafundisho ya yake yalikuwa ni kutenda wema.
Mfano
43 Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;
Mathayo
lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
Mathayo 5:44.

USICHANGANYE MASHETANI WENYE DHAMBI, WAPAGANI, VUGUVUGU NA IMANI YA WAKRISTO.TENA ALISEMA UKIWA VUGUVUGU ATAKUTAPIKA.
Hunitoi kwenye reli
Hao ni wagalatia na muendelee hivyo kuuwana wenyewe, mkianza kuja kwetu nchi haitakalika hii
 
Yuda sio tatizo namtetea kidogo kusema kweli
Watoto wa pwani Arusha wamepinda kidogo!!!

Lkn sehemu Yuda hajachunguza na kuleta Uzi fikirishi kwangu kwa maoni yangu

Ni upande wa
kuamini uchawi washirikina
Swali kwanini mikoa ya Bara kunamatendo mangi ya ukatili kuliko pwani :BanHammer:

1) Watu kuchunwa ngozi ni Bara sababu ushirikina

2) wauaji Bibi zetu wazee kisa macho mekundu napo Bara,
sababu ushirikina

3) kuuwawa Albino kukatwa viungo vyao napo mikoa ya Bara,
Sababu ushirikina

4) kukatwa Korodani wanaume napo mikoa ya Bara,
sababu ushirikina

5)Watu kunyofolewa Figo Moyo mkoa ya Mbeya karibu na mipaka ya Zambia
Sababu biashara kwenda kuuzwa

Pwani ktk haya ni salama

Yuda kazi kwako. Kujitetea !!

Mbona wewe pwani tu kutafuta majanga yao!!!
 
Nimeona video kama kumi za watoto wa Pwani wanacheza wanainua makalio juu juu kama feni au wanatukana hovyo hadharani. Kwa tukio moja la mauaji unataka nifanye majumuisho ya watoto wa jamii nzima?!
Xma wewe wala hatuhitaji kukuletea mifano ya mauaji yenu yaliyoshamiri hivi karibuni, jua kwamba tukianza kuona wenzetu wanauliwa mtatafuta pa kutokea huwa hatucheki na kima
 
Back
Top Bottom