Geita: Wahitimu wagombania Msichana, mmoja atuhumiwa kumuua mwenzake

Geita: Wahitimu wagombania Msichana, mmoja atuhumiwa kumuua mwenzake

Mtajua wenyewe na dini zenu nachoshukuru sio vijana wa huko machame mmngekuwa mshatujazia nyuzi hapa
 
Xma wewe wala hatuhitaji kukuletea mifano ya mauaji yenu yaliyoshamiri hivi karibuni, jua kwamba tukianza kuona wenzetu wanauliwa mtatafuta pa kutokea huwa hatucheki na kima
Sasa mtu kama wewe sema unaandika "xma" unadhani unakitu kichwani kweli
 
Haya mambo ya ukosefu wa maadili sio ya kuyafanyia kuwa ni "gotcha!" dhidi ya Waislam au Watu wa Pwani. Hili ni tatizo very serious linalozikumba jamii yetu, ila kuna watu wanakosa uadilifu kabisa. Ni mambo yanasikitisha mno.


Tunamuomba Allah Afya na Salama, Aamiin.
 
Back
Top Bottom