Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Wanafunzi wamejeruhiwa na Radi katika shule ya sekondari Lwezera
Majira ya leo mchana wakati mvua ikiwa inanyesha Radi imepiga maeneo ya Lwezera mkoani Geita katika wilaya ya Geita.
Radi hiyo imejeruhi wanafunzi katika shule ya sekondari Lwezera lakini hakuna kifo kilicho ripotiwa mpaka sasa.
Taarifa zaidi tutajuzana