GEITA: Wanafunzi wa Shule ya sekondari Lwezera wajeruhiwa na Radi

GEITA: Wanafunzi wa Shule ya sekondari Lwezera wajeruhiwa na Radi

Bila hiyo wajerumani nisingesoma Huu Uzi...nilijua walikuwa wanafatilia Mali za wajerumani hapo shuleni wakapigwa radi
🤣🤣🤣 Unataka na mimi nifungiwe Siku saba eti
 
Mnapanda miti miti moja pembeni ya darasa, lazima mpigwe tu na radi.

Elimu Elimu Elimu.
 
Daah rad za huku ni hatar san zimewah kunikosa kosa Geita siyo poa kabisa kwenye rad ni atar
 
View attachment 1888886


Wanafunzi wamejeruhiwa na Radi katika shule ya sekondari Lwezera
Majira ya leo mchana wakati mvua ikiwa inanyesha Radi imepiga maeneo ya Lwezera mkoani Geita katika wilaya ya Geita.
Radi hiyo imejeruhi wanafunzi katika shule ya sekondari Lwezera lakini hakuna kifo kilicho ripotiwa mpaka sasa.

Taarifa zaidi tutajuzana
RAdi gn Aug hii
 
Back
Top Bottom