Geita: Wananchi wamuua aliyemshambulia Askari

Muache kutumika na majizi ya ccm, sina chuki na polisi nina uchungu na hasira namna hii taasisi imenajisiwa na ccm. Kwa taarifa yako tu mshua ameshakuwa boss wenu akiwa staff officer kanda ya ziwa mkoa X, nina ndugu, jamaa na marafiki kibao humo sina chuki.

Tunataka kuona Tanzania ya haki, amani na upendo. Hatutaki kodi zetu zitumike kuwalipa mishahara halafu ccm wawaamrishe mje kutupiga virungu, mtubambikizie kesi kisha mnaishia kuishi maisha duni, ya ufukara. Mmeingia kwenye ugomvi wa watanzania vs ccm, mmekubali kufom alliance na adui
 
haki haitapatikana polisi wala popote dunia hii,

umeona hata mbinguni shetani alifukuzwa, sababu alidai haki sawa.
 
Nikifiri RPC atakataa wanannchi kujichukulia sheria mikononi kumbe kupambana na polis

USSR
Huyu Kamanda hamnazo kabisa. Sijaona popote akilaani wanachi kumuua huyu jamaa, ila ameona la maana ni kusema wasiwashambulie polisi. Hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…