mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
mwisho wa siku bibie anabaki analia huelewi analilia utamu au bado ugomvi unaendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugomvi mapenzi!Awali nilikua nikidhani labda ni kwangu tu! Siku zikapita huku nikifanya research siku baada ya siku kupitia watu tofautitofauti kwamba :-
Iwapo baina ya wapenzi wawili iwe mke Vs mume au Boy F Vs Girl F Pametokea ugomvi au any conflict between siku ya kumaliza ugomvi (refar ham'jakulana mavitu yenu for so many days) siku hiyo gem lazima iwe tough naweza kuifananisha na big match like "Laliga Super Classico! e.g Barcelona Vs Real madrid" Aidha ukali wa hilo gem huzidi hata ule wa mnapokutana kwa mara ya kwanza mwenza mmoja anapokua amerudi toka safari.
Na kwa kua hivyo ndivyo inavyokua je? Kuna ubaya gani tukianza baadhi ya wakati tuna'create bif from no where kwa malengo ya kufaidi havy gem after mediation dialogue takin' place ? (samahani kwa kuchanganya lugha naomba nieleweke katika kuandika hicho kii'english pia niko mazoezini kwani nasoma English corse na sijahitimu) hence by the time when am make error/mistake Jf mpo waelewa kibao msisite kunielekeza.
Wakilegea ndo Comment kama hizi zinazidi kuwa nyingi. Washindwe na kinyume cha kulegea nini vileee.
there are many other techniques of making love amazing and solid. cheza na angle, mipira iliyokufa ndo unafunga weeeeeeee. JK