Gem baada ya ugomvi/rabsha kwa nini hunoga kwa mno ?

mwisho wa siku bibie anabaki analia huelewi analilia utamu au bado ugomvi unaendelea
 
Ugomvi mapenzi!
Wengine hutafuta kusudi...
 
there are many other techniques of making love amazing and solid. cheza na angle, mipira iliyokufa ndo unafunga weeeeeeee. JK
 
there are many other techniques of making love amazing and solid. cheza na angle, mipira iliyokufa ndo unafunga weeeeeeee. JK

Angle ziko nyingi my dia ! Can you mention atlist two out of it ? Alafu sijajua maana yako ulipomaliza na initial Jk !
 
mimi nilikuwa naonaga kwenye movie za wazungu lakini iliponitokea ckuamini maana cku ile ilikuwa kama finale kutafuta kikombe ilipigwa misumali a.k.a rafu red kadi zilijaa yaani mechi ilijaa fujo tupu ilichezwa mpaka dakika za nyongeza ikabidi yapigwe matuta wote tukajikuta tunafurahia ushindi na furaha ikarudi. Nashut down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…