Gemini (Mapacha) wenzangu mnatumia mbinu gani kushindana na Egoism?

Hata mimi najisikia kama wewe isipokuwa kipengele cha kuhisi najua kuliko binadamu wote,hakuna anayejua kuliko wote,start feeding your ego that! Kuhisi unajua kuliko wote ndio kutojua kwenyewe.
 
Ili Tuthibitishe Ubora Wa Mama Yako Njoo Na Vyeti Vya DNA Vyako Na Vya Baba Yako.
 
Hata mimi najisikia kama wewe isipokuwa kipengele cha kuhisi najua kuliko binadamu wote,hakuna anayejua kuliko wote,start feeding your ego that! Kuhisi unajua kuliko wote ndio kutojua kwenyewe.
Nasoma vitabu sana mkuu. All kinds of art and science.
 
Mimi ni aquarius (Ndoo).
Tunaamini sisi ni alien's.
Asilimia kubwa ya mabilionea Duniani ni aquarius.

Aquarius ni watu wa kipekee wenye uelewa wa hali ya juu.

Gemini hawaingii ndani kwa aquarius πŸ‘½
Kwa upande mwengine Gemini ana element ya Air, hakuna, hakuna tena hakuna anayeweza kumyumbisha Gemini kwenye mambo yake
 
Ongeza... Usije ukathubutu kumzingua Gemini, si mtu wa kisasi ila ni mtu ambaye akiamua kukufanyia jambo huwa ghafla na ni la kuumiza hasa kiakili... They are chameleone, wanabadilika dakika
 
Kwa hiyo bibie LIKUD hata kwenye vitu vinavyoonekana kwa macho wewe unajiona Bora hata kama umezidiwa?
Kwa mfano ni dhahiri kuwa BRAZA CHOGO ana big nyash na amekuzidi (kwa nyash), je utabisha na kusema kuwa nyash yako ni kubwa kuliko ya CHOGO?

Jibu langu tafadhali...
 
Sijawahi kuona sifa za Gemini za aina hiyo, tatizo watu wanaishia kutizama Sun sign tu ila hawajui kwamba hizo signs zengine nazo zinatuathiri pia kwa sehemu zengine. Kuna Rising sign or Ascendant, Moon sign, Mercury n.k

Kwahiyo unakuta wewe sun sign yako ni mbuzi ila moon sign(The moon represents our emotional nature and inner life. How we express our feelings) yako ni Simba.
 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
U have to be a Gemini to see that.

TID na Gigy Money unaonaje personalities zao zinafanana ama,,?


Kanye West na Trump?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…