Gemini (Mapacha) wenzangu mnatumia mbinu gani kushindana na Egoism?

Gemini mwingine ni Kiranga umesahau kumuweka kwenye orodha yako
Inawezekana kbs gemini hakubali vitu visivyo na ushahidi na anasoma extensively hachagui cha kuingiza kwenye brain yake na unapokuja kubishana naye ujipange hasa. Anaona pande mbili muda wote ukija na tricks akiuliza swali anataka kuona ujinga wako na umejipangaje, anayo majibu muda wote kabla hata hujaongea, huwezi kumkuta kwa mganga wala kwenye maombi na ni ngumu sana kuamini vitu vya namna hiyo!
 
Ndiyo wana akili sana hasa za darasani lakini hawana akili za maisha na mahusiano
 
Na Gemini kila siku anapata rizki, hajawahi kukaa bila kazi, iwe ni ajira au kujiajiri.
Daah... Mkuu Chambusiso hapa kwenye suala la kazi mimi peke yangu ndo nateseka au.. Nimezaliwa May 30 😰😰
Tafuta issue yoyote inayohusu mawasiliano, ualimu, uanasheria, utangazaji, computer, radio, na vifaa vyote vinavyohusiana navyo lazima utapiga hadi utajishangaa baadaye
 
Hata mi nimezaliwa trh 31 July,nina tatizo au niseme mkosi wa kupata kazi, Nikipata kazi naishia kufukuzwa , vipi hii ina uhusiano wowote na my birtdate? Msaada tafa

Hujalenga kiongozi angalia maeneo haya....

Tafuta issue yoyote inayohusu mawasiliano, ualimu, uanasheria, utangazaji, computer, radio, na vifaa vyote vinavyohusiana na mawasiliano lazima utapiga hadi utajishangaa baadaye
 
LIKUD umeleta mada akajipakulia minyama weeee, ukajiona Trump,hapohapo ukajiona Kanye West🤣

Kuna swahiba wako kwenye comment nae kajiona Nyerere😅

Chambusiso mwalimu wa hii mada ananyoosha rula💪
Nope Mimi sijioni Trump wala Kanye najiona Mungu. Najiona katika viumbe wote wa Mungu Mimi ndio bora kuliko wote.
 
Inawezekana kbs gemini hakubali vitu visivyo na ushahidi na anasoma extensively hachagui cha kuingiza kwenye brain yake na unapokuja kubishana naye ujipange hasa. Anaona pande mbili muda wote ukija na tricks akiuliza swali anataka kuona ujinga wako na umejipangaje, anayo majibu muda wote kabla hata hujaongea, huwezi kumkuta kwa mganga wala kwenye maombi na ni ngumu sana kuamini vitu vya namna hiyo!
100% Fact
 
Because it is just made up shit by dumb ancient people.

There is no scientific evidence to support it. The constellations change over time.

Msome Profesa wa Astronomy anaongelea hili jambo.

Back
Top Bottom