Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Umesoma hizo links nilizokuoa?Kwani shida ya astrology IPO wapi?
Kitu cha kwanza astrology inatumia model ya 2D wakati ulimwengu haupo katika 2D.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma hizo links nilizokuoa?Kwani shida ya astrology IPO wapi?
Wewe tatizo lako huja evolve kwenda na sayansi ilivyo evolve kuanzia miaka 500 iliyopita.Alchemist is a code. Astrology ime ivolve kama vile vile ambavyo Biology, Physics, Geography etc zime ivolve
Yeah, a code for bullshit.
Alchemy attempted to create gold from lead.
Chemistry showed us why this is impossible a long time ago.
Unfortunately you are more than 500 years behind the modern world.
Kumekuchaaaa😀😀😀😀Mimi ni aquarius (Ndoo).
Tunaamini sisi ni alien's.
Asilimia kubwa ya mabilionea Duniani ni aquarius.
Aquarius ni watu wa kipekee wenye uelewa wa hali ya juu.
Gemini hawaingii ndani kwa aquarius 👽
Umesoma hizo links nilizokuoa?
Kitu cha kwanza astrology inatumia model ya 2D wakati ulimwengu haupo katika 2D.
Kosa kubwa la Ptolemy ni lipi?Yes nimesoma. Sijakataa kwamba Ptolemy alifanya errors na makosa but Kwa nyakati alizo ishi plus njia alizo tumia kufanya tafiti zako, bado ana staili heshima yake
Astrology was birthed out of 2d models but it is no longer using 2d Model. Astrology ime evolve from 2d model to Heliocentric model
Fire Sign wapenda shari..hasira ndoo😀😀😀 best leaders haswa ila weka mbali na hasira zao.Mimi ni Aries (Ram Riders) ambayo ndiyo Nyota Kiongozi na Watu ambao wapo hapo si wa kawaida tukiwemo Mimi na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Tenga muda wako kisha nenda kwa Wataalam wa Nyota kisha waulize Watu wa Nyota ya Aries huwa ni Watu gani na Wamebarikiwa nini na Mwenyezi Mungu hapa duniani kuliko Wengine na ukimaliza ndipo utajua kwanini GENTAMYCINE ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na pia kwanini Najiamini mno na Siogopi lolote.
Tatizo Alchemy wewe ume ielewa literally but Alchemy is deeper than that. Msome Manly P.Hall kuhusu Alchemy. Alchemy is a code. It is not all about physical Gold etc. Alchemy teaches about how to transform situations and things. In Alchemy every thing can be transformed . Every situation can be transformed . Transforming Lead into Gold Inaweza kumaanidjs kubadilisha situation kutoka Hali moja kwenda nyingine.Wewe tatizo lako huja evolve kwenda na sayansi ilivyo evolve kuanzia miaka 500 iliyopita.
Ndiyo maana mpaka leo unatumia alchemy na astrology badala ya chemistry na astronomy.
Hapo ndipo ujinga unapoanza.Tatizo Alchemy wewe ume ielewa literally but Alchemy is deeper than that. Msome Manly P.Hall kuhusu Alchemy. Alchemy is a code. It is not all about physical Gold etc. Alchemy teaches about how to transform situations and things. In Alchemy every thing can be transformed . Every situation can be transformed . Transforming Lead into Gold Inaweza kumaanidjs kubadilisha situation kutoka Hali moja kwenda nyingine.
Mfano in the eyes of the Alchemist Kagame is an Alchemist Kwa sababu Ali i transform Rwanda from the ashes of Genocide in 1994 to a Beautiful Rwanda.
Sasa kwa nini ume focus kwenye la pili ambalo ni la dunia tu, ukaacha la kwanza ambalo ni la universe nzima?1. Kusema dunia ndio IPO katikati ya universe.
2. Kusema kwamba circumference ya dunia ni km 28,000 wakati uhalisia ni km 40,070.
Uko sahihi 100%.Fire Sign wapenda shari..hasira ndoo😀😀😀 best leaders haswa ila weka mbali na hasira zao.
Kwani mswahili akisema ya kale ni dhabahu hayo ya kale ni physical Gold Kweli?Hapo ndipo ujinga unapoanza.
Hata kusema tu mnataka kutengeneza gold kutoka lead mnaleta ushairi wa Vogoni.
Ujinga mtupu.
Kama ulivyosema hawa watu ni wale waliozaliwa hizo tarehe ulizotaja. Binafsi naamini tarehe ya mtu ya kuzaliwa haiwezi kuathiri tabia zake. Tabia ni kutokana na malezi uliyoishi.Kwa mujibu WA elimu ya Astrology kipengele cha Zodiac ,Watu WA nyota ya Mapacha( Gemini) ni watu walio zaliwa Kati ya tarehe 21 May Hadi 20 June.
Watu WA nyota ya Mapacha wana sifa moja common dunia nzima.
They are so proud ( wajivuni kupita kiasi)
They have got the most biggest egos in the universe.
Wana Amini wao ni bora Kuliko mtu yoyote yule duniani.
Wanajifanya wanajua ( much knows) pengine Kuliko mtu yoyote duniani.
They are arrogance
Unapo zungumzia watu WA nyota ya Mapacha unazungumzia watu kama vile :
1. Donald Trump.
2. Kanye West.
3. Pac and Biggie.
4. TID
5. Lady Jay Dee.
6. Giggy Money. etc.
Wote hawa wana sifa kuu zinazo fanana.
They are so proud/ they have big egos, they are so arrogant etc.
Mimi pia ni Gemini. Nina Amini Mimi ndio kiumbe wa Mwenyezi Mungu mwenye ego kuu Kuliko kiumbe yoyote yule duniani. Not even Lucifer can beat me.
Nina Amini katika viumbe wote wa Mwenyezi Mungu Mimi ndio kiumbe wake bora Kuliko yoyote yule.
Nina Amini ukimuondoa Mwenyezi Mungu, Hakuna kiumbe yoyote yule awe jini au Malaika whichever come first ambae yupo juu kuzidi Mimi.
Nimeishi na dhana hii tangu utoto wangu.
Sababu kuu iliyo nifanya nikache Dini niliyo irithi Kwa wazazi wangu ni kuji assess na kugundua kwamba Hakuna mahali popote kwenye Holy Qur'aan, Taurati, Zaburi ama Injili ambayo inasimama na Mimi.
Kwa mfano Qur'aan na Bible Zina sema Mariam mama wa Yesu ndio mama bora Alie barilkiwa Kuliko wanawake wote duniani ila Mimi ndani ya nafsi yangu Nina Amini mama yangu mzazi alonizaa ndio mama bora kabisa duniani tangu dunia iumbwe.
Nimejaribu Ku surpress my ego but all in vain. Nothing on earth can ever make me to swallow my pride . Nimeamua kuishi my pride .
Nyie wenzangu mmefanyaje au mnafanyaje?.
N.b: Nilijiunga JF mwaka 2012 kama njia moja wapo ya kufanya therapy to put my Ego on the line Kwa sababu in real life I don't engage with people they way I am doing here.
Imenisaidia Kwa kiasi chake Kwa sababu at least naweza kujibizana na watu hapa.
Hata ninapo andika threads za kuwasifu watu hapa jf huwa nafanya therapy ya kudeal with my ego Kwa sababu in real life I don't talk about people and I don't talk to people cause I don't know anything that me and them can talk about.
Nikinywa wine huwa ina saidia kusurpress my ego at a moment. Naweza kumpigia mtu simu etc but kesho Yake I will blame my self
Enz za Shule Nlikuwa Naulizwa Hivi Wewe Mpole?Mtukutu?Una Busara Au Design Gani Yaan mtu gan hahah.. Kubadilika SekundeKwanza Gemini hana ego hiyo utakua umejiundia mwenyewe tu, gemini ni two sided kama wanavyoitwa mapacha, yani muda wote ana side mbili zinazopingana, pacha mmoja anapoamka mwingine anatulia, yupo mkali na mpole na muda wote wanabishana!
Some say people born under the Gemini zodiac sign have the following characteristics:
Geminis are represented by twins and are an air sign ruled by the planet Mercury. People born between May 20 and June 21 are Geminis.
- Communicative
Geminis are known for being great communicators and storytellers. They are often responsive listeners and are comfortable in both introverted and extroverted roles.
- Curious
Geminis are inquisitive and have a childlike curiosity. They are always asking new questions and are eager to learn new things.
- Adaptable
Geminis are known for their ability to adapt to any situation. They can switch between different social circles and conversations with ease.
- Versatile
Geminis are versatile and can be the life of the party or a wallflower. They can bring dissimilar people together and make them get along.- Witty
Geminis are known for their wit and humor. They are often entertaining and can infuse their interactions with a lively spirit.- Dual nature
Geminis are known for their dual nature, which allows them to see multiple perspectives.- Strengths
Geminis are known for being people persons, making quick connections, and being mentally stimulated.- Weaknesses
Geminis can be unpredictable, impulsive, and flaky. They can also have trouble committing and may lack long-term focus.
Sijaona ego hapo mkuu! Hizo ndio main characters za Gemini. By the way I am Gemini pia
Alchemy ilijaribu kutengeneza dhahabu, dhahabu halisi, si msemo wala ushairi wla fumbo.Kwani mswahili akisema ya kale ni dhabahu hayo ya kale ni physical Gold Kweli?
Mtu akisema ukiwa Johannesburg bangi ya Arusha ni lulu inakuwa Lulu Kweli?
Nikiwachukua vijana mia wanaoshinda vijiweni nikawapeleka kilosa Huko nikawapa matrekta walime na wakafanikiwa kwenye kilimo sintokuwa nimebadilisha lead kuwa dhahabu?
That is Alchemy all about. It is a code to something deeper than it seems
Sijaacha nimelitaja kwamba Ptolemy Ali estimate kwamba Dunia ndio center ya universe baadae akaja kuwa debunked kwamba jua ndio center ya universe. Hata hivyo hatuwezi sema kama Heliocentric IPO sahihi Kwa sababu :Sasa kwa nini ume focus kwenye la pili ambalo ni la dunia tu, ukaacha la kwanza ambalo ni la universe nzima?
Sure!!!!!!!!!!Sifa kubwa ni mshereheshaji na kila anapopita anaacha alama! Na Gemini kila siku anapata rizki ni ngumu sana kumkuta na kitambi au hayupo busy, hajawahi kukaa bila kazi, iwe ni ajira au kujiajiri. Na very manipulative, ukimsikiliza tu anakushawishi na utamfuata kama kondoo. Kukosa pesa anasikia kwa watu tu na ana jeuri ya kupambana mwenyewe bila kuomba hata kama ana magumu kiasi gani anatoka tu kimaajabu! That's gemini
Kila wakati anasurprise tu wanaomuhusu!