Gemini (Mapacha) wenzangu mnatumia mbinu gani kushindana na Egoism?

Kwa mujibu WA elimu ya Astrology kipengele cha Zodiac ,Watu WA nyota ya Mapacha( Gemini) ni watu walio zaliwa Kati ya tarehe 21 May Hadi 20 June.

Watu WA nyota ya Mapacha wana sifa moja common dunia nzima.

They are so proud ( wajivuni kupita kiasi)

They have got the most biggest egos in the universe.

Wana Amini wao ni bora Kuliko mtu yoyote yule duniani.

Wanajifanya wanajua ( much knows) pengine Kuliko mtu yoyote duniani.

They are arrogance

Unapo zungumzia watu WA nyota ya Mapacha unazungumzia watu kama vile :

1. Donald Trump.

2. Kanye West.

3. Pac and Biggie.

4. TID

5. Lady Jay Dee.

6. Giggy Money. etc.

Wote hawa wana sifa kuu zinazo fanana.

They are so proud/ they have big egos, they are so arrogant etc.

Mimi pia ni Gemini. Nina Amini Mimi ndio kiumbe wa Mwenyezi Mungu mwenye ego kuu Kuliko kiumbe yoyote yule duniani. Not even Lucifer can beat me.

Nina Amini katika viumbe wote wa Mwenyezi Mungu Mimi ndio kiumbe wake bora Kuliko yoyote yule.

Nina Amini ukimuondoa Mwenyezi Mungu, Hakuna kiumbe yoyote yule awe jini au Malaika whichever come first ambae yupo juu kuzidi Mimi.

Nimeishi na dhana hii tangu utoto wangu.

Sababu kuu iliyo nifanya nikache Dini niliyo irithi Kwa wazazi wangu ni kuji assess na kugundua kwamba Hakuna mahali popote kwenye Holy Qur'aan, Taurati, Zaburi ama Injili ambayo inasimama na Mimi.

Kwa mfano Qur'aan na Bible Zina sema Mariam mama wa Yesu ndio mama bora Alie barilkiwa Kuliko wanawake wote duniani ila Mimi ndani ya nafsi yangu Nina Amini mama yangu mzazi alonizaa ndio mama bora kabisa duniani tangu dunia iumbwe.

Nimejaribu Ku surpress my ego but all in vain. Nothing on earth can ever make me to swallow my pride . Nimeamua kuishi my pride .

Nyie wenzangu mmefanyaje au mnafanyaje?.

N.b: Nilijiunga JF mwaka 2012 kama njia moja wapo ya kufanya therapy to put my Ego on the line Kwa sababu in real life I don't engage with people they way I am doing here.

Imenisaidia Kwa kiasi chake Kwa sababu at least naweza kujibizana na watu hapa.

Hata ninapo andika threads za kuwasifu watu hapa jf huwa nafanya therapy ya kudeal with my ego Kwa sababu in real life I don't talk about people and I don't talk to people cause I don't know anything that me and them can talk about.

Nikinywa wine huwa ina saidia kusurpress my ego at a moment. Naweza kumpigia mtu simu etc but kesho Yake I will blame my self

Get down your high horse mate your zodiac sign doesn't guide anything in your life its just a month that you were born got nothing to do with your egoism .
 
Sifa kubwa ni mshereheshaji na kila anapopita anaacha alama! Na Gemini kila siku anapata rizki ni ngumu sana kumkuta na kitambi au hayupo busy, hajawahi kukaa bila kazi, iwe ni ajira au kujiajiri. Na very manipulative, ukimsikiliza tu anakushawishi na utamfuata kama kondoo. Kukosa pesa anasikia kwa watu tu na ana jeuri ya kupambana mwenyewe bila kuomba hata kama ana magumu kiasi gani anatoka tu kimaajabu! That's gemini

Kila wakati anasurprise tu wanaomuhusu!
Yapping
 
Alchemy ilijaribu kutengeneza dhahabu, dhahabu halisi, si msemo wala ushairi wla fumbo.

Sio Alchemy isipokuwa watu ambao walishindwa kutafsiri vizuri what Alchemy was teaching humanity. They thought it was talking about physical Gold.

As a matter of a scientific fact gold can be created in the lab the problem it is expensive to do that.

Miaka inayo kuja Upo uwezekano binadamu akavumbua teknolojia ya kurahisisha jambo Hilo.

Maarifa halisi kuhusu Alchemy yalikuwa yanafichwa na yalikuwa passed down from a father to a son kama Iron Smithing

Watu walikuwa wanajaribu kuchukua lead kutengeneza dhahabu.

Unaelewa hilo?

Why do you still use alchemy and astrology while there is chemistry and astronomy?

Do you even know the difference?
Yes I do
 
Sijaacha nimelitaja kwamba Ptolemy Ali estimate kwamba Dunia ndio center ya universe baadae akaja kuwa debunked kwamba jua ndio center ya universe. Hata hivyo hatuwezi sema kama Heliocentric IPO sahihi Kwa sababu :

1. Modern science haijatuambia ni jua lipi Hilo ambalo ndio centre of the universe kwa sababu jua ni nyota na kila nyota imezungukwa na sayari, so ni jua ( nyota) lipi Hilo ambalo ndio center of the universe?.

Wanasayansi wanasema there are many universes. So which universe are the Heliocentrists talking about?

What do I personally think? Hili jua Sio centre of the universe but it is the centre of our solar system .

2. Ptolemy anaweza kuwa sahihi Kuliko unavyo fikiria Kwa sababu alivyo sema " The earth is the centre of the universe" pengine alimaanisha " the earth is the centre of concentration of the universe" . All attention( energy) in the universe is concentrated on earth.

Labda alimaanisha kama wewe unavyo maanisha ukisema " Dar es salaam is the centre of business activities in Tanzania"
Tatizo lako unaamini uchawi na mambo yasiyothibitishika.

Thibitisha the earth is the centre of concentration of the universe.

Empirically.

Onesha kuwa that is not just anthropic bias.
 
Tatizo lako unaamini uchawi na mambo yasiyothibitishika.

Thibitisha the earth is the centre of concentration if tge universe.
Out of all the billion planets and starts across the universe, Earth is the only planet with life.

Life is the center( source ) of everything.

Perhaps the earth is the one that gives her life to all planets and stars in the universe.

Thats why Ptolemy estimated that the earth is the centre of the universe.

It doesn't have anything to do with uchawi.

Empirically.

Onesha kuwa That is not just anthropic bias.
 
According to Kingwendu
Tis just a month you were born , And your personality doesn't revolve around it . at the end of the day you are just a normal guy living in Tanzania who did nothing to impact lives of billions same as me same as many amongst 60m+ Tanzanians.

But if you did this to boost your ego and get that sense of accomplishment (because you got non) ?? Ata boy.
 
Kwa mujibu WA elimu ya Astrology kipengele cha Zodiac ,Watu WA nyota ya Mapacha( Gemini) ni watu walio zaliwa Kati ya tarehe 21 May Hadi 20 June.

Watu WA nyota ya Mapacha wana sifa moja common dunia nzima.

They are so proud ( wajivuni kupita kiasi)

They have got the most biggest egos in the universe.

Wana Amini wao ni bora Kuliko mtu yoyote yule duniani.

Wanajifanya wanajua ( much knows) pengine Kuliko mtu yoyote duniani.

They are arrogance

Unapo zungumzia watu WA nyota ya Mapacha unazungumzia watu kama vile :

1. Donald Trump.

2. Kanye West.

3. Pac and Biggie.

4. TID

5. Lady Jay Dee.

6. Giggy Money. etc.

Wote hawa wana sifa kuu zinazo fanana.

They are so proud/ they have big egos, they are so arrogant etc.

Mimi pia ni Gemini. Nina Amini Mimi ndio kiumbe wa Mwenyezi Mungu mwenye ego kuu Kuliko kiumbe yoyote yule duniani. Not even Lucifer can beat me.

Nina Amini katika viumbe wote wa Mwenyezi Mungu Mimi ndio kiumbe wake bora Kuliko yoyote yule.

Nina Amini ukimuondoa Mwenyezi Mungu, Hakuna kiumbe yoyote yule awe jini au Malaika whichever come first ambae yupo juu kuzidi Mimi.

Nimeishi na dhana hii tangu utoto wangu.

Sababu kuu iliyo nifanya nikache Dini niliyo irithi Kwa wazazi wangu ni kuji assess na kugundua kwamba Hakuna mahali popote kwenye Holy Qur'aan, Taurati, Zaburi ama Injili ambayo inasimama na Mimi.

Kwa mfano Qur'aan na Bible Zina sema Mariam mama wa Yesu ndio mama bora Alie barilkiwa Kuliko wanawake wote duniani ila Mimi ndani ya nafsi yangu Nina Amini mama yangu mzazi alonizaa ndio mama bora kabisa duniani tangu dunia iumbwe.

Nimejaribu Ku surpress my ego but all in vain. Nothing on earth can ever make me to swallow my pride . Nimeamua kuishi my pride .

Nyie wenzangu mmefanyaje au mnafanyaje?.

N.b: Nilijiunga JF mwaka 2012 kama njia moja wapo ya kufanya therapy to put my Ego on the line Kwa sababu in real life I don't engage with people they way I am doing here.

Imenisaidia Kwa kiasi chake Kwa sababu at least naweza kujibizana na watu hapa.

Hata ninapo andika threads za kuwasifu watu hapa jf huwa nafanya therapy ya kudeal with my ego Kwa sababu in real life I don't talk about people and I don't talk to people cause I don't know anything that me and them can talk about.

Nikinywa wine huwa ina saidia kusurpress my ego at a moment. Naweza kumpigia mtu simu etc but kesho Yake I will blame my self
Pengine nikikusahihisha haya maeneo pia utanibishia kwa kuwa wewe ni egotist. And according to Ryan Holiday, "ego is the enemy" (find the book)

Maeneo hayo ni (kwa uchache)
1. Most biggest - bigger than (you compare Gemin to others)
2. Much knows - much know
3. They are arrogance - they are arrogant
 
1. Most biggest - bigger than
2. Much knows - much know
3. They are arrogance - they are arrogant

Ryan Holiday was talking about his ego not mine.
 
Tis just a month you were born , And your personality doesn't revolve around it . at the end of the day you are just a normal guy living in Tanzania who did nothing to impact lives of billions same as me same as many amongst 60m+ Tanzanians.

But if you did this to boost your ego and get that sense of accomplishment (because you got non) ?? Ata boy.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Kwa mujibu WA elimu ya Astrology kipengele cha Zodiac ,Watu WA nyota ya Mapacha( Gemini) ni watu walio zaliwa Kati ya tarehe 21 May Hadi 20 June.

Watu WA nyota ya Mapacha wana sifa moja common dunia nzima.

They are so proud ( wajivuni kupita kiasi)

They have got the most biggest egos in the universe.

Wana Amini wao ni bora Kuliko mtu yoyote yule duniani.

Wanajifanya wanajua ( much knows) pengine Kuliko mtu yoyote duniani.

They are arrogance

Unapo zungumzia watu WA nyota ya Mapacha unazungumzia watu kama vile :

1. Donald Trump.

2. Kanye West.

3. Pac and Biggie.

4. TID

5. Lady Jay Dee.

6. Giggy Money. etc.

Wote hawa wana sifa kuu zinazo fanana.

They are so proud/ they have big egos, they are so arrogant etc.

Mimi pia ni Gemini. Nina Amini Mimi ndio kiumbe wa Mwenyezi Mungu mwenye ego kuu Kuliko kiumbe yoyote yule duniani. Not even Lucifer can beat me.

Nina Amini katika viumbe wote wa Mwenyezi Mungu Mimi ndio kiumbe wake bora Kuliko yoyote yule.

Nina Amini ukimuondoa Mwenyezi Mungu, Hakuna kiumbe yoyote yule awe jini au Malaika whichever come first ambae yupo juu kuzidi Mimi.

Nimeishi na dhana hii tangu utoto wangu.

Sababu kuu iliyo nifanya nikache Dini niliyo irithi Kwa wazazi wangu ni kuji assess na kugundua kwamba Hakuna mahali popote kwenye Holy Qur'aan, Taurati, Zaburi ama Injili ambayo inasimama na Mimi.

Kwa mfano Qur'aan na Bible Zina sema Mariam mama wa Yesu ndio mama bora Alie barilkiwa Kuliko wanawake wote duniani ila Mimi ndani ya nafsi yangu Nina Amini mama yangu mzazi alonizaa ndio mama bora kabisa duniani tangu dunia iumbwe.

Nimejaribu Ku surpress my ego but all in vain. Nothing on earth can ever make me to swallow my pride . Nimeamua kuishi my pride .

Nyie wenzangu mmefanyaje au mnafanyaje?.

N.b: Nilijiunga JF mwaka 2012 kama njia moja wapo ya kufanya therapy to put my Ego on the line Kwa sababu in real life I don't engage with people they way I am doing here.

Imenisaidia Kwa kiasi chake Kwa sababu at least naweza kujibizana na watu hapa.

Hata ninapo andika threads za kuwasifu watu hapa jf huwa nafanya therapy ya kudeal with my ego Kwa sababu in real life I don't talk about people and I don't talk to people cause I don't know anything that me and them can talk about.

Nikinywa wine huwa ina saidia kusurpress my ego at a moment. Naweza kumpigia mtu simu etc but kesho Yake I will blame my self
Mimi ni Gemini wa June 9 lakini Sina hata kimoja kwa ulichoandika hapo
Au imekuwa vice versa kwangu
Najali sana watu wanaonizunguka than my self
 
Out of all the billion planets and starts across the universe, Earth is the only planet with life.

Life is the center( source ) of everything.

Perhaps the earth is the one that gives her life to all planets and stars in the universe.

Thats why Ptolemy estimated that the earth is the centre of the universe.

It doesn't have anything to do with uchawi.
First things first, you do not know that out of all the planets and starrs across the universe, Earth is the only planet with life.

The fact that you have not found life on any other planet does not mean there is no life out there.

Out of all those planets and start systems, how many have we even explored?

Also, the statement that life is the center/ source of everything is not true. The universe can continue without life. In fact the non-living part of the universe is far greater than the living part by all discernible evidence.

Moreover, there is so much that we do not know about the universe. It is entirely possible that there are some things out there that are greater and more complex than life as the living world is more complex than the non living world.

You are just applying the anthropic bias.

It is entirely possible that you are like a child who lives in a world with no video, everything is limited to photos, and you think photos are the greatest things in the world, just because you do not know high resolution videos that carry audio too.
 
Sifa kubwa ni mshereheshaji na kila anapopita anaacha alama! Na Gemini kila siku anapata rizki ni ngumu sana kumkuta na kitambi au hayupo busy, hajawahi kukaa bila kazi, iwe ni ajira au kujiajiri. Na very manipulative, ukimsikiliza tu anakushawishi na utamfuata kama kondoo. Kukosa pesa anasikia kwa watu tu na ana jeuri ya kupambana mwenyewe bila kuomba hata kama ana magumu kiasi gani anatoka tu kimaajabu! That's gemini

Kila wakati anasurprise tu wanaomuhusu!
Dah, huyu Mimi kabisa,
Kuna siku nilisoma sehemu makala nikarudi home nikaanza kuwasomea then at the end nikauliza huyu ni nani wote wakasema huyo ni wewe

Nikawa najiuliza haya mambo yanakuaje ? Just a date of birth mtu anakujua hivi
 
Pengine nikikusahihisha haya maeneo pia utanibishia kwa kuwa wewe ni egotist. And according to Ryan Holiday, "ego is the enemy" (find the book)

Maeneo hayo ni (kwa uchache)
1. Most biggest - bigger than (you compare Gemin to others)
2. Much knows - much know
3. They are arrogance - they are arrogant
Astrology haina ushahidi wa kuithibitika kisayansi kuwa ni kitu cha ukweli.

Ni maneno ya kuungaunga tu.

One simple Google search will show you this overview.

AI Overview
Learn more

Astrology is considered nonsense because there is no scientific evidence to support the claim that the positions of planets and stars at the time of one's birth can influence their personality, life events, or future; essentially, there is no plausible mechanism explaining how celestial bodies could exert such an effect on individuals on Earth, making it a pseudoscience.

Key points against astrology:
  • Lack of scientific basis:
    Numerous studies have failed to demonstrate any correlation between astrological signs and personality traits, making it scientifically invalid.

  • No proposed mechanism:
    Astrologers haven't presented a scientifically viable explanation for how the positions of planets could affect human lives.

    • Based on apparent positions:
      Astrology relies on the apparent positions of celestial bodies from Earth, which doesn't account for the true 3D nature of the universe.
    • The Barnum effect:
      Many astrological readings use vague and general statements that can apply to a wide range of people, creating the illusion of accuracy.
 
Mimi ni Gemini wa June 9 lakini Sina hata kimoja kwa ulichoandika hapo
Au imekuwa vice versa kwangu

Kama Upo kinyume chake tafsiri Yake ni kwamba umefanikiwa to starve your ego.

But however u have not succeed Kwa sababu your ego has just changed its form.

Instead of demonstrating itself as " pride" it demonstrates itself as " Generous".

You are trying to be generous to other people because you want them to think that you a better person than them.

In Swahili :👇👇👇👇👇

Kama tabia zako zipo kinyume tafsiri Yake ni kwamba umefanikiwa Ku starve your ego.

Lakini hata hivyo bado hujafanikiwa kabisa Kwa sababu kilicho fanyika kwako ni kwamba ego yako imebadilisha frequency kutoka kujidhirisha kama " Fahari " Sasa hivi ina jidhirisha kama " Mtu mwema Kwa watu wengine"

Unawasaidia watu wengine Kwa sababu unaona Fahari watakusifu kwamba wewe ni mtu mwema.

Ni kitu Kile Kile tu lakini kinajidhihirisha Kwa frequency tofauti.

Ni sawa na mtu anae TOA Kwa watu akijitangaza vs anae toa bila kujitangaza.

Wote wanataka sifa, anae jitangaza anataka sifa na asie jitangaza anataka sifa pia. Anataka watu wamsifu " Fulani bana mtu mmoja mzuri Sana anatoa misaada Kwa watu lakini hataki watu wengine wajue. ( kama angekua hataki watu wajue watu huwa wanajuaje? Wanajua Kwa sababu ukimpa mtu misaada ukamwambia asitangaze lazima atangaze)

Najali sana watu wanaonizunguka than my self
Hata Mimi najali sana watu wanao nizunguka. I am a very generous person
 
Back
Top Bottom