Gemini (Mapacha) wenzangu mnatumia mbinu gani kushindana na Egoism?

Gemini (Mapacha) wenzangu mnatumia mbinu gani kushindana na Egoism?

Kwanza Gemini hana ego hiyo utakua umejiundia mwenyewe tu, gemini ni two sided kama wanavyoitwa mapacha, yani muda wote ana side mbili zinazopingana, pacha mmoja anapoamka mwingine anatulia, yupo mkali na mpole na muda wote wanabishana!

Some say people born under the Gemini zodiac sign have the following characteristics:
  • Communicative
    Geminis are known for being great communicators and storytellers. They are often responsive listeners and are comfortable in both introverted and extroverted roles.

  • Curious
    Geminis are inquisitive and have a childlike curiosity. They are always asking new questions and are eager to learn new things.

  • Adaptable
    Geminis are known for their ability to adapt to any situation. They can switch between different social circles and conversations with ease.

    • Versatile
      Geminis are versatile and can be the life of the party or a wallflower. They can bring dissimilar people together and make them get along.
    • Witty
      Geminis are known for their wit and humor. They are often entertaining and can infuse their interactions with a lively spirit.
    • Dual nature
      Geminis are known for their dual nature, which allows them to see multiple perspectives.
    • Strengths
      Geminis are known for being people persons, making quick connections, and being mentally stimulated.
    • Weaknesses
      Geminis can be unpredictable, impulsive, and flaky. They can also have trouble committing and may lack long-term focus.
Geminis are represented by twins and are an air sign ruled by the planet Mercury. People born between May 20 and June 21 are Geminis.

Sijaona ego hapo mkuu! Hizo ndio main characters za Gemini. By the way I am Gemini pia
Hizi sifa zote ndio zinanielezea mimi na character yangu. I often get into undecided situations. Inanichukua muda kufanya maamuzi.
 
Ndo ikoje hiyo?
Punda mara nyingi huchukuliwa kama ni wabinafsi ila ni watu ambao huwa waanzilishi wa mambo na ni watekelezaji. Ni watu wenye kujiamini sana hupenda kufanya mambo yao wao wenyewe, na ni watu ambao hupenda kusema ukweli bila kujali hisia za watu wengine, wakianzisha jambo hadi wafanikishe hawana muda wa kufikiri athari ya matendo yao kwa wengine na ni watu ambao wanasumbuliwa hasira sana.

Ni wachapa kazi wazuri sana muda mwingi huwaza njia ya kuweza kufanikisha malengo yao. Mara nyingi husumbuliwa na maumivu ya kichwa au majeraha madogo madogo kichwani.
 
Kwa sababu najua menstrual cycle of women is controlled by the moon gravity.

If the moon is pushed away from her axis then hakutakuwa na nguvu ya uvutano Kati ya moon na mwezi.

Na bila ya nguvu ya uvutano mwanamke hawezi kuwa na menstrual cycle.

No menstrual cycle no pregnancy
Hujathibitisha kitu hapo, umelazimisha juwa unajua hivyo tu.

Thibitisha.
 
Punda mara nyingi huchukuliwa kama ni wabinafsi ila ni watu ambao huwa waanzilishi wa mambo na ni watekelezaji. Ni watu wenye kujiamini sana hupenda kufanya mambo yao wao wenyewe, na ni watu ambao hupenda kusema ukweli bila kujali hisia za watu wengine, wakianzisha jambo hadi wafanikishe hawana muda wa kufikiri athari ya matendo yao kwa wengine na ni watu ambao wanasumbuliwa hasira sana.

Ni wachapa kazi wazuri sana muda mwingi huwaza njia ya kuweza kufanikisha malengo yao. Mara nyingi husumbuliwa na maumivu ya kichwa au majeraha madogo madogo kichwani.
Mbona m nasumbuliwa na macho πŸ˜†
 
Back
Top Bottom