Gemini (Mapacha) wenzangu mnatumia mbinu gani kushindana na Egoism?

Gemini (Mapacha) wenzangu mnatumia mbinu gani kushindana na Egoism?

Astrology haina ushahidi wa kuithibitika kisayansi kuwa ni kitu cha ukweli.

Ni maneno ya kuungaunga tu.

One simple Google search will show you this overview.

AI Overview
Learn more

Astrology is considered nonsense because there is no scientific evidence to support the claim that the positions of planets and stars at the time of one's birth can influence their personality, life events, or future; essentially, there is no plausible mechanism explaining how celestial bodies could exert such an effect on individuals on Earth, making it a pseudoscience.

Key points against astrology:
  • Lack of scientific basis:
    Numerous studies have failed to demonstrate any correlation between astrological signs and personality traits, making it scientifically invalid.

  • No proposed mechanism:
    Astrologers haven't presented a scientifically viable explanation for how the positions of planets could affect human lives.

    • Based on apparent positions:
      Astrology relies on the apparent positions of celestial bodies from Earth, which doesn't account for the true 3D nature of the universe.
    • The Barnum effect:
      Many astrological readings use vague and general statements that can apply to a wide range of people, creating the illusion of accuracy.

Yes haina empirical data/evidence tu but patterns, behaviors, characters etc, na morals grouping zake zinaenda sawa katika maeneo mengi sana qualitatively, ndio maana watu mbalimbali wanaposoma hapa wanajiona na kusema WoW! Sio research zote zinahusisha statistics na zinakubalika tu generally. Ndio maana kuna science na arts na zote zina-complement kwenye maisha ya binadamu
 
Sasa mimi mbona unasema nina sifa hizo na wala sijazaliwa miezi ya nyota hiyo? Ina maana kama nina sifa hizo kweli, basi si kwa sababu mimi ni Gemini, kuna sababu nyingine.

Sasa hao Gemini wenye sifa hizo mnajuaje wana sifa hizo kwa sababu ni Gemini na si kwa sababu nyingine tofauti?

Na vipi Gemini ambao hawana hizo sifa? Mna wa explain vipi?

Hakuna ushahidi wa kisayansi wa ku support astrology.

Kama unao, uweke hapa.
Mkuu unakosea sana kudhani kila knowledge inahitaji ushahidi wa kisayansi.

Isome knowldge na aina zake, nadhani utajua si kila knowldge inahitaji ushahidi wa kisayansi.
 
Same date with my kid....haka katoto unaeweza kukaita kakaitika baada ya dk 5.....na sio kwamba hakajasikia🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Huyo ni Mimi kabisa yani.

S/he is a real Gemini
 
Hujathibitisha kitu hapo, umelazimisha juwa unajua hivyo tu.

Thibitisha.
Labda kama hujataka tu kuelewa lakini mbona hoja yangu ime eleweka vizuri.

Ni sawa na mtu kusema endapo jua litastop Kwa muda WA siku 3 Basi mimea yote itakufa na mimea yote ikifa then watakufa pia viumbe wote wanao tegemea mimea for survival wakiwemo binadamu Kwa sababu binadamu wanategemea natural oxygen kutoka Kwa mimea ili kusurvive ( Najua utasema mitungi ya oxygen ita tumika kama mbadala wa oxygen )

It is just a matter of common sense
 
Yes haina empirical data/evidence tu but patterns, behaviors, characters etc, na morals grouping zake zinaenda sawa katika maeneo mengi sana qualitatively, ndio maana watu mbalimbali wanaposoma hapa wanajiona na kusema WoW! Sio research zote zinahusisha statistics na zinakubalika tu generally. Ndio maana kuna science na arts na zote zina-complement kwenye maisha ya binadamu
Pattern gani? Weka evidence hapa.
 
Mkuu unakosea sana kudhani kila knowledge inahitaji ushahidi wa kisayansi.

Isome knowldge na aina zake, nadhani utajua si kila knowldge inahitaji ushahidi wa kisayansi.
Knowledge ni nini? Unajuaje hii ni knowledge na hii ni kabobo ya mumbo jumbo tu?
 
Labda kama hujataka tu kuelewa lakini mbona hoja yangu ime eleweka vizuri.

Ni sawa na mtu kusema endapo jua litastop Kwa muda WA siku 3 Basi mimea yote itakufa na mimea yote ikifa then watakufa pia viumbe wote wanao tegemea mimea for survival wakiwemo binadamu Kwa sababu binadamu wanategemea natural oxygen kutoka Kwa mimea ili kusurvive ( Najua utasema mitungi ya oxygen ita tumika kama mbadala wa oxygen )

It is just a matter of common sense
Hujathibitisha menstrual cycle zinategemea uvutano wa jua na mwezi. Hakuna ushahidi wa kisayansi kuthibitisha hili.

Umeweka conjecture tu.
 
Hujathibitisha menstrual cycle zinategemea uvutano wa jua na mwezi. Hakuna ushahidi wa kisayansi kuthibitisha hili.

Umeweka conjecture tu.
Msome Manly P. Hall " The secret teachings of all the time"
 
Kwa nini nisome kitabu hiki? N8na vitabu zaidi ya 1,000 vya kusoma katika list yangu, kwa nini nisome hiki?
Kwa sababu kinajibu swali lako vizuri. Wewe si umesema unataka uthibitisho WA connection Kati ya moon na menstrual circle?

Basi msome Manly P. Hall.
 
Kwa sababu kinajibu swali lako vizuri. Wewe si umesema unataka uthibitisho WA connection Kati ya moon na menstrual circle?

Basi msome Manly P. Hall.
Katika kitabu hicho, ukurasa gani anatoa uthibitisho huo, na kaandika nini kilichothibitisha kuwa menstruation cycle inatokana na uvutano wa dunia na mwezi? Weka ukurasa hapa, weka maneno yake halisi hapa.

Si uweke hiyo hoja hapa tu?

Mimi hata kwa kuangalia reviews za kitabu hicho nakutana na Masonic mumbo jumbo, esoteric knowledge and such spiritualism bullshit.

Kwwnye dibaji ya kitabu tu anasema kwamba he holds nothing in the book as infallibe, hizo mystwries akizoziandika anasema zinaweza kuwa na makisa.

Sasa wewe ulichosoma kwake, mtu ambaye anasema alichoandika kinaweza kuwa na makosa, unajuaje alichoandika kuhusu mwnstruatiin na mwezi hakina makisa?
 
Back
Top Bottom