Gemini (Mapacha) wenzangu mnatumia mbinu gani kushindana na Egoism?

U have to be a Gemini to see that.

TID na Gigy Money unaonaje personalities zao zinafanana ama,,?


Kanye West na Trump?
Najaribu kukuelewesha mkuu kwa sababu hata mimi naweza kukutajia watu wenye nyota ya Gemini ila wako tofauti na Gemini uliyoeleza wewe hapo ya Tid na Gigy. Binafsi mimi ni Leo sun sign ila nilikuwa naona nina sifa za nyota ya Virgo sikuwa naelewa ni kwanini.
 
Hata mi nimezaliwa trh 31 July,nina tatizo au niseme mkosi wa kupata kazi, Nikipata kazi naishia kufukuzwa , vipi hii ina uhusiano wowote na my birtdate? Msaada tafa
Hapana Hakuna uhusiano wowote
 
Nina wowowo kubwa kama furushii

Cc: Lamomy
 
huko mtwara bana,
mapacha wameshirikiana na kumuua mama yao mzazi wakimtuhumu kwa ushirikiana dah!

Inasikitisha sana, inahuzunisha sana kwa mapacha kua na hasira za pamoja na kushirikiana kuua mzazi kikatili πŸ’
 
Mnataka kuiba nyota za watu tu hamna lolote.

Yani uwataje wote umuache GENTAMYCINE kunani hapo?
Mimi ni Aries (Ram Riders) ambayo ndiyo Nyota Kiongozi na Watu ambao wapo hapo si wa kawaida tukiwemo Mimi na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Tenga muda wako kisha nenda kwa Wataalam wa Nyota kisha waulize Watu wa Nyota ya Aries huwa ni Watu gani na Wamebarikiwa nini na Mwenyezi Mungu hapa duniani kuliko Wengine na ukimaliza ndipo utajua kwanini GENTAMYCINE ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na pia kwanini Najiamini mno na Siogopi lolote.
 
Baadhi tu ya tabia za hii complex creature! Na siku ukisikia gemini kaamua kuoa ujue keshalamba 250+ maana anachagua mno, mwanamke anayemkalisha gemini chini ni kwamba kila siku ana kipya, na akili inafanya kazi! Gemini anaanza kupenda akili kwanza kabla ya maumbile, anakua na mwanamke leo then mapacha wanaanza kujadiliana kichwani kana anawafaa na kwa namna gani na matokeo yake kesho yake anajikuta kafutiliwa mbali kama vile hajawahi kuwepo na hana kumbukumbu sana bahati mbaya anaweza siku ingine kurudia tena same gal kwa kusahau! Communication power inafanya mwanamke yoyote akimtaka anakamata bila hata kutumia nguvu nyingi
 
Duh kwa mara ya kwanza leo nime like comment ya Genta. Au umeanza tena kale katabia kako kakuoga dawa kabla hujapost jf ili upate likes na comments nyingi?
 
100% fact
 
huko mtwara bana,
mapacha wameshirikiana na kumuua mama yao mzazi wakimtuhumu kwa ushirikiana dah!

Inasikitisha sana, inahuzunisha sana kwa mapacha kua na hasira za pamoja na kushirikiana kuua mzazi kikatili πŸ’
Ana pande mbili na atakayochagua anaifanya kwa ufanisi mkubwa, akiwa evil hamna rangi mtaacha kuiona na akiwa decent anakuwa sexy ile mbaya wazungu wanasema, yani anafit kila mahali, so hizo ni baadhi tu ya tabia za mapacha!
 
Ana pande mbili na atakayochagua anaifanya kwa ufanisi mkubwa, akiwa evil hamna rangi mtaacha kuiona na akiwa decent anakuwa sexy ile mbaya wazungu wanasema, yani anafit kila mahali, so hizo ni baadhi tu ya tabia za mapacha!
100% fact
 
Gemini ni malaya na ni watu wasio na focus, hawawezi kudumu na jambo moja kwa muda mrefu

Wanapenda sana mawasiliano (mercury) yote iwe ni sauti au kwa maandishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…