Gemu ya Simba na Horoya ilikuwa na mambo mengi ya kufikirisha sana

Siwezi kuumia hata kidogo kwa mtu anayeamini lugha chafu ndio hoja yake nakuangalia tu halafu nacheka tu ihiiiii
Kwan ni lazima utesekeeeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleeeeeeeeh
 
Hivi unadhani simba ina uwezo wa kutoa hela nyingi kiasi cha kuwafanya horoya waruhusu kufungwa magoli 7, kujishusha kisoka, kiheshima na kukosa more than Tsh.1.5B
 
Uliangalia mechi ya yanga na zalan fc ilikuaje ile mechi naona mlipiga mpira mwingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…