Gemu ya Simba na Horoya ilikuwa na mambo mengi ya kufikirisha sana

Nimeangalia kwa umakini gemu ya Simba na Horoya huku Simba akiibuka na ushindi wa mchongo wa goli 7 ndio nasema ni ushindi wa mchongo kwa sababu kama hizi.

Magoli mengi ya Simba yalikua magoli ya Sandakalawe penalti, free kick mara beki za horoya zimepoteza mpira kizembe, mara kipa katema...nk sikuona shambulizi lolote la maana lililopangwa likapangika la Simba tofauti na jinsi Yanga inavyotafuta magoli.

Simba walikua na usaidizi wa refa ukiangalia uchezeshaji wa refa ulikua wa upande mmoja alikua akiua Movement nyingi za Horoya kwa kupuliza filimbi huku akiacha za Simba hata kama ni offside.

Sio kwamba Simba walikua bora hii mechi ilichezwa nje ya uwanja either bahasha ya khaki ilitembea au mambo ya kiswahili kwani Simba ndio mafundi wa hizo tabia ref kule South Afrika hawakuona tabu kutaka kuchoma kiwanja cha watu pia kwenye ishu za Bahasha ni mafundi pia ref kesi ya Kabwili na ile ya ulimboka Mwakingwe au walicheza na makipa wa Horoya au walifanya yote kwa pamoja.

Ila sasa wanavyojitamba huku kitaa utadhani walipiga mpira mkubwa kivile la hasha waswahili wanasema yalikua magoli ya piga nikupige tofauti na Yanga unaona kabisa Movement ball inatoka kwa Mayele inatembea kwa Musonda then Kamba.Kushinda kwa Simba kuna mambo mengi sana ya kufikirsha kwani wana kona kona nyingi sana.
Mpira mchezo wa makosa usipofanya kosa ufungwi..
 
Imenunua sh ngapi wakati kuingia tu robo fainali ni 1.5b sasa utahonga kiasi gani
 
Tulitumia njia zetu za kimbinu(ngawira) ili tuweze kushinda na tulishinda.

Unachezea 1.5 bil za robo fainali!

Unatoa mil. 300 kwenye 1.5 bil. kila kitu kinakwenda sawa.
 
Kinyaa tena hebu rudia tena kusoma kama hujaja na comment hakika huo ndio uzi bora toka kwa chambuzi makini kwani nimewasaidia kuwajulisha uchafu wa timu yenu japo mimi Simba pia.
Hizi nguvu unazotetea upumbavu ni bora uzitunze usiku umridhishe wifi yetu... 😆 😆 😆
 
Hizi nguvu unazotetea upumbavu ni bora uzitunze usiku umridhishe wifi yetu... [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Keshawahi kukulalamikia nini mamilo[emoji1][emoji1] nimuulize hapa
 
Tulitumia njia zetu za kimbinu(ngawira) ili tuweze kushinda na tulishinda.

Unachezea 1.5 bil za robo fainali!

Unatoa mil. 300 kwenye 1.5 bil. kila kitu kinakwenda sawa.

Sasa wewe ndio umeongea ukweli sio hao wanaobisha tu binafsi nimetoa hela yangu mfukoni kuchangia ununuzi wa ushindi ule
 
Ingekua Ramadhan labda ningesema ni saumu Kali .....
Kiukweli ulichoandika ni 🚮🚮🚮
 
Nimeangalia kwa umakini gemu ya Simba na Horoya huku Simba akiibuka na ushindi wa mchongo wa goli 7 ndio nasema ni ushindi wa mchongo kwa sababu kama hizi.

Magoli mengi ya Simba yalikua magoli ya Sandakalawe penalti, free kick mara beki za horoya zimepoteza mpira kizembe, mara kipa katema...nk sikuona shambulizi lolote la maana lililopangwa likapangika la Simba tofauti na jinsi Yanga inavyotafuta magoli.

Simba walikua na usaidizi wa refa ukiangalia uchezeshaji wa refa ulikua wa upande mmoja alikua akiua Movement nyingi za Horoya kwa kupuliza filimbi huku akiacha za Simba hata kama ni offside.

Sio kwamba Simba walikua bora hii mechi ilichezwa nje ya uwanja either bahasha ya khaki ilitembea au mambo ya kiswahili kwani Simba ndio mafundi wa hizo tabia ref kule South Afrika hawakuona tabu kutaka kuchoma kiwanja cha watu pia kwenye ishu za Bahasha ni mafundi pia ref kesi ya Kabwili na ile ya ulimboka Mwakingwe au walicheza na makipa wa Horoya au walifanya yote kwa pamoja.

Ila sasa wanavyojitamba huku kitaa utadhani walipiga mpira mkubwa kivile la hasha waswahili wanasema yalikua magoli ya piga nikupige tofauti na Yanga unaona kabisa Movement ball inatoka kwa Mayele inatembea kwa Musonda then Kamba.Kushinda kwa Simba kuna mambo mengi sana ya kufikirsha kwani wana kona kona nyingi sana.
Acha uchoko kabwili wewe
 
Acha uchoko kabwili wewe

[emoji1][emoji1][emoji1] kwa hiyo picha uliyoweka nimegundua kitu wa Oblangata yako,
Kabwili yule mliyempa Kibunga aachie magoli mpaka leo kuna kesi au kabwili yupi Striker mkali kama Manzoki
 
Back
Top Bottom