Gen Makenga ajitokeza nje, atembelea askari wa fardc walioteka vitani- tunaenda kumfukuza Tshisekedi

Gen Makenga ajitokeza nje, atembelea askari wa fardc walioteka vitani- tunaenda kumfukuza Tshisekedi

Jenerali Makenga akasema mafunzo hayo ni kutoa ujinga wa jeshi la FARDC katika bongo zao ili wawe askari wazuri, wakuweza kuzingatia mafunzo ya wakufunzi wa kijeshi wa M23 ambao ni ndugu zao wakongomani.
Huyu jamaa amekomaa kisaikolojia. Unaona jinsi anavyojaribu kuwaweka sawa🤣🤣
 
Wanajeshi wa FARDC wanatupa silaha na kutimka kwa wingi. Walianza kutoroka na kujisalimisha tangu mwanzo.

Wanajeshi wa FARDC hawaiamini falsafa ya Felix Tshisekedi tangu mwanzo ya kuwagombanisha wakongomani dhidi ya wakongomani wenzao.

Toka maktaba :
05 February 2025

Hatima ya Wanajeshi wa Kongo waliokimbilia nchini Rwanda: Kutoka Migogoro hadi Huruma


View: https://m.youtube.com/watch?v=hSmco4XCxck
 
Kinachowasaidia hawa vijana wa M23 ni kwamba wana nidhamu ya hali ya juu huwezi kuwaona wamelewa Pombe wala kupora raia sasa hivi wanachi waliokuwa wamejazwa anti Rwanda propaganda wameanza kuwafurahia sana Waasi wa M23.
 
Hawa M23 wana nidhamu sana. Wakiendelea hivyo hata jamii ya kimataifa itawaelewa.
 
Morali iliyokuwa nayo jeshi la FARDC la serikali ya Congo mwaka 2022 imetoweka :

TOKA MAKTABA:

MAKURUTA WENGI WALIJITOKEZA KUJIUNGA NA FARDC MWAKA 2022


View: https://m.youtube.com/watch?v=3T4LRespL3Q

Mwaka 2022 waliongea kwa uzalendo mkuu walipojiunga na jeshi, huku wakisapotiwa na vifaa vya kisasa vya kivita, uniform, usafiri wa logistic ulikuwa mzuri yaani 'bien' wakongomani wanasema, walakini...
 
Back
Top Bottom