Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Huyu jamaa amekomaa kisaikolojia. Unaona jinsi anavyojaribu kuwaweka sawa🤣🤣Jenerali Makenga akasema mafunzo hayo ni kutoa ujinga wa jeshi la FARDC katika bongo zao ili wawe askari wazuri, wakuweza kuzingatia mafunzo ya wakufunzi wa kijeshi wa M23 ambao ni ndugu zao wakongomani.
Wamejiteka🤣Hivi jeshi kubwa hivi walitekwaje kijinga?
Hivi imekuwaje m23 wawaamini mateka wa kijeshi kirahisi kiasi hiki?
Kuna maswali mengi zaidi ya majibu
Hapa tunapangwa.Wamejiteka🤣
🤣🤣🤣🤣 Wacongo wanafki mbayaWacomgomani sio wa kuwaamini kesho jeshi la Tshisekedi likishinda watalishangilia sana.
Kongo inakosa Viongozi wanaojua uongozi.🤣🤣🤣🤣 Wacongo wanafki mbaya
Kiswahili Cha kinyarwanda kabisaSultan Makenga anachapa Kiswahili
Imekaa hivyo hivyo tu sajenti general Makenga 🤣🤣 jamaa msumbufu sana huyukatoka cheo cha sajenti mpaka jenerali hii imekaaje?