Pre GE2025 Gen Z hatushindwi kitu: Kampeni ya kukataa machawa na viongozi wabovu inaanza rasmi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Labda mbuni mbinu yenu ya kivyenu ila kutegemea idea za kikenya za gen Z sioni mkitoboa aisee, maana ma gen Z wa bongo ndio hao kina mwijaku na lukasi mwamshamba, role model wao joti unategemea nini
Inawezekana but hiyo mbinu but hiyo ni ideology ambayo inatakiwa isambae kwanza
 
Labda mbuni mbinu yenu ya kivyenu ila kutegemea idea za kikenya za gen Z sioni mkitoboa aisee, maana ma gen Z wa bongo ndio hao kina mwijaku na lukasi mwamshamba, role model wao joti unategemea nini
Wajinga ni % chache tu Mkuu ambao hawatushindwi, msi-lose faith na sisi kiasi hicho, by the way inabidi tuungane wote... Gen Z or not una unaathirika na yanayoendelea nchini, unga tela kwenye movement
 
Inawezekana but hiyo mbinu but hiyo ni ideology ambayo inatakiwa isambae kwanza
Ni kweli, ndio maana kokote unakopita kwenye page ya chawa, mwanasiasa mwizi dondosha hashtag Mkuu, JF ni jeshi kubwa, naamini hili lipo ndani ya uwezo wetu
 
Haki haipatikani kwenye social medias, ingia kitaa andamana...
Japo naunga mkono juhudi, kwanza sija follow chawa yeyote.
 
Chawa ndio nini? Maana huo upuuzi uliqnzishwa na machadomo
 
Wajinga ni % chache tu Mkuu ambao hawatushindwi, msi-lose faith na sisi kiasi hicho, by the way inabidi tuungane wote... Gen Z or not una unaathirika na yanayoendelea nchini, unga tela kwenye movement
rekebisha basi tittle ya thread yako maana ni kama hii movement ni for gen z only.
 
Kwamba mmeamua kujipiga risasi masikioni? Maana hizo tabia zimekuja na hiyo tabia ilikuwemo kwa generations nyingi lakini ilikuwa ni miongoni mwa tabia za aibu sawa na ushoga na usagaji.
Ni wakati wa hii generation yenu ndiyo tabia hii imeonekana kuwa siri ya mafanikio, ndiyo mtaji ndiyo tabia ambayo inaipa CCM jeuri ya kufanya inavyojisikia. Hii ni tabia yenu hiyo ndiyo identity ya generation yenu.
 
Hizi harakati za hashtag ni za kizembe sana hazifanikiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…