Pre GE2025 Gen Z hatushindwi kitu: Kampeni ya kukataa machawa na viongozi wabovu inaanza rasmi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Gen Z isambae East Africa yote.
 
Linaanza na wewe Mkuu, kila utakapopita dondosha hashtags hizo
Najuwa. Lakini honestly mimi mwenyewe nawashangaa sana wanaom follow huyo jamaa. Mimi siwezi hata kwa malipo.

Kwahiyo ndo maana nawsapoti nyie Gen Z kama ulivyosema nia yenu hiyo ya kutemana naye. Mwenzenu anaongea ujinga huku munamsaidia kuingiza mapesa.
 
Umetisha sana Mkuu, naanza na chawa wa humu humu
 
Dada yenu nawaunga mikono yote miwili. Tena naomba michawa ya humu, ikileta habari yoyote. Ni kuwawekea hashtags tu, msichangie chochote, mpaka waache uhayawani wao.
#kataamachawa
#kataaufisadi
#kataaccm
 
Labda niulize, kuwatupia hiyo hashtag haiwezi kuwaongezea followers?
 

Naunga mkono harakati za vijana kama kweli wameamka basi ni vyema wengine hapa uzee umeshabisha hodi .

Tukatae machawa , chawa ni uchafu teketeza uchafu huu.

Cc: Lucas Mbwa Wa Shamba.
 
Haki haipatikani kwenye social medias, ingia kitaa andamana...
Japo naunga mkono juhudi, kwanza sija follow chawa yeyote.
Mpaka chawa anacheka jinsi anaona unatetea upande wao, zama zinabadilika.... tunaanza hivyo popote unakopita dondosha hashtags mpaka zisambae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…