Blessed Tajiri
Member
- Dec 16, 2023
- 57
- 82
- Thread starter
-
- #61
😂😂😂 Mkuu bwana, uchawa haujifichi ujue, yaani umefukuta koteee ukaona hii ndio angle ya kitokea?!Keamba mmeamua kujipiga risasi masikiini? Maana hizo tabia zimekuja na hiyo tabia ilikuwemo kwa generations nyingi lakini ilikuwa ni miongoni mwa tabia za aibu sawa na ushoga na usagaji.
Ni wakati wa hii generation yenu ndiyo tabia hii imeonekana kuwa siri ya mafanikio, ndiyo mtaji ndiyo tabia ambayo inaipa CCM jeuri ya kufanya inavyojisikia. Hii ni tabia yenu hiyo ndiyo identity ya generation yenu.
#KataaMachawaHizi harakati za hashtag ni za kizembe sana hazifanikiwi.
NitakuwepoNimekutana na post muda si mrefu kuhusu Mwijaku, nimefikiria tuanzishe kampeni hii ya kumaliza uchawa nchini na kuondoa viongozi wote ambao hawatufai. kama mtoa mada yule alivyoelekeza;
Kusoma post yake pitia hapa, tusIpoteze muda na kujaza server kueleza upya alichopost 👉 Mwijaku anajikuta nani hasa? Ifike mahala tuanze gomea biashara za chawa wote, unfollow kwenye mambo yao yote!
Twende kwenye mambo ya kufanya;
1. Kwanza unfollow chawa wote, mpaka kwenye page zao za biashara, wauza vipodozi, vyakula, wanamuziki, chawa, unfollow wote. Page zao ziko public, ni cha kufanya ni kupita mara kwa mara kwenye kurasa zao, kila wanachopost achia hashtag #KataaMachawa au #KataaChawa. Kwa viongozi chawa nao fanya hivyo hivyo, pitisha hashtag kwenye post zao zote. Tuna chawa wanaotetea ujinga humu acha hashtag kwenye post zao zote.
2. Kwa viongozi mafisadi, waiba pesa za umma kila siku wanatajwa kwenye ripoti za CAG hatuoni wakifungwa wala kufilisiwa na wale wanaokubali tufungiwe mitandao tutumie hashtag hii - #KataaUozo2025. Wote tunawajua viongozi mizigo, tunawajua mafisadi, tunawajua waotaka kutuzimia mtandao, tunawajua wabunge sehemu zote ambapo toka wachaguliwe hawaonekani tena jimboni, na hujawahi kumuona hata sikumoja akifungua mdomo kuwasemea wananchi wake, tembeza # hii kwenye kila post wanayoweka.
Usidharau mbinu hizi, tunaweza kurudisha discipline nchini waelewe wenye nguvu ni wananchi.
Kumbuka hashtag ni mbili tu #KataaMachawa na #KataaUozo2025
Hatuwezi kushindwa kwenye hili, kumbuka unampigania mama yako, baba, dada na kaka kaka zako, wadogo zako, ndugu na jamaa, na zaidi na the most important thing ni kuwa you are fighting for yourself!
LETS DO THIS!
Imekaa poa sana hiiSafi kabisa hakuna kisicho na mwanzo
#KataaUozo2025
#KataaMachawa
#KataaChawa
#kataa chawaaa,wewe ni papasiChawa ndio nini? Maana huo upuuzi uliqnzishwa na machadomo
Kwa nini? Chawa ndio nini?#kataa chawaaa,wewe ni papasi
#kataa chawaaKwamba mmeamua kujipiga risasi masikioni? Maana hizo tabia zimekuja na hiyo tabia ilikuwemo kwa generations nyingi lakini ilikuwa ni miongoni mwa tabia za aibu sawa na ushoga na usagaji.
Ni wakati wa hii generation yenu ndiyo tabia hii imeonekana kuwa siri ya mafanikio, ndiyo mtaji ndiyo tabia ambayo inaipa CCM jeuri ya kufanya inavyojisikia. Hii ni tabia yenu hiyo ndiyo identity ya generation yenu.
#kataaa chawaaHizi harakati za hashtag ni za kizembe sana hazifanik
@#kataa chawaaaKwa nini? Chawa ndio nin
Chawa ni weweKwa nini? Chawa ndio nini?
Exactly,ni hashtag tuu zitembeeDada yenu nawaunga mikono yote miwili. Tena naomba michawa ya humu, ikileta habari yoyote. Ni kuwawekea hashtags tu, msichangie chochote, mpaka waache uhayawani wao.
#kataamachawa
#kataaufisadi
#kataaccm
Hapana na kila uzi watakaotupia humu hakuna kuchangia zaid ya hashtagLabda niulize, kuwatupia hiyo hashtag haiwezi kuwaongezea followers?
🚮🚮🚮🚮🚮#kataamachawa
hasa wa chadema
Sawa Chawa ndio nini?Chawa ni wewe
#kataa chawa