Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Watu watajipanga vizuri sana.Kama hamjajipanga HAMUWEZI kuwashinda polisi.mtamwaga damu za watu bure.wenzenu Wana risasi wewe hata uje na panga mwenzio ana kutungua tu.
usiwadanganye wenzio.narudia RISASI HAINA MBADALA tusidanganyaneWatu watajipanga vizuri sana.
Cc: DIVISHENI FOOSasa hivi kila kwenye national holiday; uhuru, Muungano, mashujaa etc iwe ni maandamano tu. Mpaka watawala dhalimu waachie madaraka. Shubaamit
This time we come with weapons na sisiThis time yaratibiwe vizuri, mabango ya kutosha na kero ziwekwe wazi, serikali na vyombo vya usalama vilinde watu wakifanya peaceful demonstrations.
Na ili ujue serikali za kiafrika ni katili, pamoja na coordination nzuri, bado watapiga na kuuwa.
Shame!!
Hatuna huo mda sasa hiviThis time yaratibiwe vizuri, mabango ya kutosha na kero ziwekwe wazi, serikali na vyombo vya usalama vilinde watu wakifanya peaceful demonstrations.
Na ili ujue serikali za kiafrika ni katili, pamoja na coordination nzuri, bado watapiga na kuuwa.
Shame!!