Usidanganyane wewe na nani?usiwadanganye wenzio.narudia RISASI HAINA MBADALA tusidanganyane
Risasi mbadala wake ni risasiusiwadanganye wenzio.narudia RISASI HAINA MBADALA tusidanganyane
Kiufupi mwambie ASIKUPANGIE.Usidanganyane wewe na nani?
Katafute mwenzio wa kudanganyana nae sio mimi.
Halafu maandamano ni issue binafsi sio kumlazimisha mtu kinguvu.
Ndio maana hata yaliyoisha kuna watu walitoka na kuna wengine walibaki ndani wamejifungia.
Kila mtu anajua risasi haina mbadala lakini kila mtu ana maamuzi yake binafsi.
Nikitaka na kuamua kwa moyo mmoja kutoka hata ukinielea kifaru mbele nitatoka tu.
Na kama sijaamua hata usipoweka kifaru sitatoka.
Na kama nimeamua nisitoke hata
Hapo Sasa umenielewa.ils sio kama walivyoenda ile tarehe 29.kama hamna nawaomba sana msiingie barabarani.mtapoteza Tena watu.hao jamaa hawana hurumaRisasi mbadala wake ni risasi
Exactly.Risasi mbadala wake ni risasi
Waliouliwa juzi walikuwa na mapanga? Sheikh majini alikuwa na panga,mwandishi wa habari ndugu Tindwa alikuwa na panga?Msije mkadanganyana kubeba mapanga mtakufa bure.zaidi mtaishia kuuana wenyewe Kwa wenyewe.bunduki Haina mbadala
Naunga mkono hojaRisasi mbadala wake ni risasi
Kiing vipi huko minjingu na mkaa?Naunga mkono hoja ,ngoma inogile ,afile munu SHOW SHOW....Hakuna Gez Z mpesempese.
Kama mna bunduki tokeni.ila kama mna mapanga mtaishia kuuana raia Kwa raia.dunia ya Sasa SI kupigana Kwa mapanga vs bunduki ndo Yale yale ya kinjekitile.usifanye mchezo na Chuma .kabla haujanyanyua panga tayari ushakufaThis time nashauri Kila mwenye siraha ndani atoke nayo,panga ,rungu, mkuki,mishale , pistol,no matter what,haiwezekani kuwa vijana wetu wauliwe hovyo wakati hawana siraha yoyote.
Nashauri wanipe tenda ya kutengeneza mishale ya sumu,ninao ujuzi mkubwa sana,Moja chali kifo cha mende
Rais Samuya arudi kwao Zanzibar
Waliouliwa juzi walikuwa na mapanga? Sheikh majini alikuwa na panga,mwandishi wa habari ndugu Tindwa alikuwa na panga?
Wewe hutakufa!? Wangapi Leo hii wamekufa bila ya kubeba mapanga??
Huyo ndo dogo semenya wa ukaldayo. No nonsense Gen Z.Usidanganyane wewe na nani?
Katafute mwenzio wa kudanganyana nae sio mimi.
Halafu maandamano ni issue binafsi sio kumlazimisha mtu kinguvu.
Ndio maana hata yaliyoisha kuna watu walitoka na kuna wengine walibaki ndani wamejifungia.
Kila mtu anajua risasi haina mbadala lakini kila mtu ana maamuzi yake binafsi.
Nikitaka na kuamua kwa moyo mmoja kutoka hata ukinielea kifaru mbele nitatoka tu.
Na kama sijaamua hata usipoweka kifaru sitatoka.
Na kama nimeamua nisitoke hata usiponiwekea kifaru sitatoka.
Wewe ulikuwa team kusifu na kuabudu yamekukuta yapi swahiba? Enewei hata hivyo Ni jambo jema kuonyesha mshikamanoThis time nashauri Kila mwenye siraha ndani atoke nayo,panga ,rungu, mkuki,mishale , pistol,no matter what,haiwezekani kuwa vijana wetu wauliwe hovyo wakati hawana siraha yoyote.
Nashauri wanipe tenda ya kutengeneza mishale ya sumu,ninao ujuzi mkubwa sana,Moja chali kifo cha mende
Rais Samuya arudi kwao Zanzibar
Waliouliwa juzi walikuwa na mapanga? Sheikh majini alikuwa na panga,mwandishi wa habari ndugu Tindwa alikuwa na panga?
Wewe hutakufa!? Wangapi Leo hii wamekufa bila ya kubeba mapanga??
No matter how,mkishindwa kuelewana Huwa Kuna ulazima wa kubomoa ili kuanza kujenga upya,na hicho ndo kinahitajika kwa sasa ili kupambana na mkoloni CCMKama mna bunduki tokeni.ila kama mna mapanga mtaishia kuuana raia Kwa raia.dunia ya Sasa SI kupigana Kwa mapanga vs bunduki ndo Yale yale ya kinjekitile.usifanye mchezo na Chuma .kabla haujanyanyua panga tayari ushakufa
Wewe na hao mabwana zako?Hatuna huo mda sasa hivi
Wewe tulia ndani umpe huduma Mume wako. Haya mambo waachie wanaumeHatuna huo mda sasa hivi
Huyu mzanzibar hafai kuitawala Tanganyika,arudi kwao,naamini this time hachomokiWewe ulikuwa team kusifu na kuabudu yamekukuta yapi swahiba? Enewei hata hivyo Ni jambo jema kuonyesha mshikamano