PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.

Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.

Aione
IGP
Jumanne Muliro
Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
IMG-20251105-WA0004.jpg
 
Wale Nyumbu mliowadanganya wakatoka wamekiona chamoto sahivi hawatatoka labda nyie mliopo nyuma ya keyboard muache kujificha chini ya uvungu muende nyie barabarani.

Maana keyboard warriors nyie hamfi kila siku mko online kumbe siku ya maandamano mnafanya usafi uvunguni na kujificha
Mkuu wewe una gallant ya kifo? Tutatoka tena kwa wingi.
 
Hii kitu hutengeneza uraibu,hapo watu wanategemea kuhemea mahitaji ya mwisho wa mwaka kwa kupora!!😁

Unaona wakenya walikuwa tayari kuchoma wese hadi Sirari ili washiriki sebene!!
Mkuu ukiwa field kuna mzuka wake yaani huwazi tena kuhusu kifo mimi hadi niliporudi home ndo nikaanza kuwaza kuwa nimenusurika kifo...Ila ukiwa home zinalia wengi walikuwa wanajinyea na kujikojorea bila kutegemea lakini si ground!

Mi sijapola kitu chochote kile ila kuandamana hata wakisema saa12 jioni hii tuingie road nimo!
 
Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.

Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.

Aione
IGP
Jumanne Muliro


Bado hamjajifunza namna maandamano yalivyosababisha fitna na mabalaa kwetu. Nimejifunza kitu, kwa yaliyotokea na kwa jinsi nilivyoona kwenye baadhi ya vyombo vya habari vya nje hasa vya Kenya, nimeamini kuna hujuma Tanzania inafanyiwa, na Allah ni Mjuzi zaidi. Ninamuomba Allah Ailinde nchi yetu na Aidumishe Amani yetu.

Damu za ndugu zetu hazijawatosha. Na uharibifu wote uliotokea hayajawatosha, mnataka muichome nchi yetu zaidi na watu wafe halafu msambaze picha za maiti zao kuudhalilisha utu wao zaidi, mnataka kutimiza malengo yenu kwa damu zetu na heshima zetu. Nyinyi sio watu wazuri kabisa.
 
Back
Top Bottom