PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Bado hamjajifunza namna maandamano yalivyosababisha fitna na mabalaa kwetu. Nimejifunza kitu, kwa yaliyotokea na kwa jinsi nilivyoona kwenye baadhi ya vyombo vya habari vya nje hasa vya Kenya, nimeamini kuna hujuma Tanzania inafanyiwa, na Allah ni Mjuzi zaidi.

Damu za ndugu zetu hazijawatosha. Na uharibifu wote uliotokea hayajawatosha, mnataka muichome nchi yetu zaidi na watu wafe halafu msambaze picha za maiti zao kudhalilisha utu wao zaidi, mnataka kutimiza malengo yenu kwa damu zetu na heshima zetu. Nyinyi sio watu wazuri kabisa.
Mbona Milio🤣
 
No matter how,mkishindwa kuelewana Huwa Kuna ulazima wa kubomoa ili kuanza kujenga upya,na hicho ndo kinahitajika kwa sasa ili kupambana na mkoloni CCM

Hatukubali kuichoma nchi yetu moto. Wengine hatuna pa kwenda, nyumbani ndio hapa. Hiyo haki haitakuwepo na hautai enjoy kama hakuna Amani.

Ni bora hiyo CCM kuliko machafuko na uvunjivu wa Amani.
 
Walahi ephen_ nimekumisi upo gudi uko ulipo 😎
Mkuu unataka kumuibia Lucas ephen wake.

Huyo hapo chini lucas M.

FB_IMG_1759900254912.jpg
 
Kama hamjajipanga HAMUWEZI kuwashinda polisi.mtamwaga damu za watu bure.wenzenu Wana risasi wewe hata uje na panga mwenzio ana kutungua tu.
Ndio tunataka tuendelee kuona hiyo nguvu ya risasi. Sisi tutaandamana kwa amani. Lakini mkija na vitisho mtatuua na sisi tutachoma tutakavyochoma. Ifahamike safari hata familia za askari tutazifanyia mauaji. Tumeshaichoka ccm, na vile haina uhalali wa kura hapo ndio mtafurahi.
 
Kama hamjajipanga HAMUWEZI kuwashinda polisi.mtamwaga damu za watu bure.wenzenu Wana risasi wewe hata uje na panga mwenzio ana kutungua tu.
Waache wamechagua wenyewe kufa kwa ajili ya taifa lao na utu wao.
Wauwaji waamue wawaue wote na vizazi vyao au wasubiri kuibuka kwa wengine kama wavietnam kwenye Vita na Marekani ( wale Vietcong) au mazombi.
Au wauwaji wawkubali kuwapatia vijana wanachodai.
 
Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.

Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.

Aione
IGP
Jumanne Muliro
Waambie waputue tulio la Tianmen square..wakijaribunkufanya TENA vurugu. Tunakujua na vifavu kuwamaliza mpaka mifupa yao
 
MTo

Mtoto wa mama kaa kwa Kutumia,hulazimishwi kuandamana

No, hatuwezi kukaa kimya na baadhi yenu mnataka kuichoma nchi na wote tuko ndani. Nyinyi watu ni hatari mno. Inabidi tuongeze juhudi ya kuongea na ndugu, jamaa na marafiki na watu wetu wakae mbali na nyinyi watu mnaohamasisha vurugu na uasi na agenda zenu. Kinachoniumiza zaidi ni kuwa baadhi yenu mko nje ila mnawachochea vijana waichome moto nchi.
 
Back
Top Bottom