PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
This time yaratibiwe vizuri, mabango ya kutosha na kero ziwekwe wazi, serikali na vyombo vya usalama vilinde watu wakifanya peaceful demonstrations.

Na ili ujue serikali za kiafrika ni katili, pamoja na coordination nzuri, bado watapiga na kuuwa.

Shame!!
Kwa kawaida wananchi wa nchi yoyote wakishachoka Utawala hawaogopi tena vifo. Refer Kenya, Madagascar, Somalia n.k

Muhimu Serikali iwe makini sana na kuhakikisha haizalishi Waasi na Magaidi nchini kwasababu hao ni hatari sana
 
Tunaanda makombeo ya kutosha/funangorelo, mishale, mapanga, sime, rungu, shoka na virupuzi ambavyo ni portable. It is not going to business as usual, lazima tulipe visasi na tuikomboe nchi toka kwa hawa majangili.
IMG-20220719-WA0007.webp
 
Kama hamjajipanga HAMUWEZI kuwashinda polisi.mtamwaga damu za watu bure.wenzenu Wana risasi wewe hata uje na panga mwenzio ana kutungua tu.
Kujipanga kivipi? Polisi wa Tanzania huaramiaha maandamano yote yasioiunga mkono CCM na serekali yake.
 
Nyinyi wahamasishaji wa maandamano mna mizigo yenu katika hili. NYINYI, tukiwaambia mtulie hamtaki, mmesababisha fitna ambayo iliwaenea waliohusika na wasiohusika. Mmesababisha ugumu kwetu sote. Na mimi sijaua mtu yoyote, sio kila ambaye anapinga uharibifu wenu basi lazima atakuwa Polisi au CCM. Wengine tunapinga haya maandamano na uasi dhidi ya watawala ili kuchunga damu za watu na kuchunga heshima za watu na mali zao. Tunachunga maslahi mapana zaidi. Nyinyi hamtengenezi, mnaharibu zaidi.
Unaoengea nini wewe au unaongelea mali za watu?!

Kabla ya maandamano raia walitekwa kubakwa kupotezwa na kuuwawa kinyama na uongozi huu huu wa CCM Na POLISCCM

Ulitaka tukae kimya mpaka lini?
TUTAKIWASHA 9Dec!
 
kwamba watarud mtaan bila kinga ? unahisi wanasahau mapema au hawana akil ya kuja na plan B ?

Tuikumbushe serikali , kiburi kitatucost kama taifa
Sawaa yote Kwa yote.mauji ya juzi juzi ni ya kutisha sio ya kujirudia tuache ushabiki.maandamano yanapofeli inakuwa ni vita.
 
Back
Top Bottom