mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Wewe uliandamana?Wewe nenda kalale,mababu zetu wangekuwa waoga hivi tusingewaondoa wazungu,this time ni balaa.
Huoni Rwanda Wana heshimiana,huku kwetu bado u babe mwingi
Wewe uliandamana?Wewe nenda kalale,mababu zetu wangekuwa waoga hivi tusingewaondoa wazungu,this time ni balaa.
Huoni Rwanda Wana heshimiana,huku kwetu bado u babe mwingi
Msonge mbele wakati watu wamepigwa risasi na kuuliwa?mna songa vipi mbele?Rudi nyumbani kalale acha sisi tusonge mbele
Sawa.maandalizi memaUkweli nikwamba hayawezi kuachwa mawazo hayo. Bunduki haijawahi kunyamazisha sauti inayodai, huu ni tangu enzi na enzi.......kinjekitile ngwale.
Wewe ni mnafki unang’ata na kupuliza. Uzungumze na nani?? Au kwakua familia yako haijaguswa??? Yeyote atakaekubali mazungumzo na wauaji atengwe, watu tumeponea chupu chupu risasi unazisikia hadi barazani kwako, tangia tar 29 bila kunywa dawa ya usingizi au kamnywesho siwez kulala naota risasi na mabomu tu. Halafu unazungumzia mazungumzo 🖕Bado sijajua kiongozi wa hay maandamano ni nani Hadi sasa!
Lakini namwambia hiyo sio njia sahihi Kwa watz kudai haki zao!!
Tuzungumze na samiah aliahidi katiba mpya kwenye kampeni,tumdai aitishe bungee la katiba!
😭😭😭😭😭Kama hamjajipanga HAMUWEZI kuwashinda polisi.mtamwaga damu za watu bure.wenzenu Wana risasi wewe hata uje na panga mwenzio ana kutungua tu.
Usiongee hivyoWale Nyumbu mliowadanganya wakatoka wamekiona chamoto sahivi hawatatoka labda nyie mliopo nyuma ya keyboard muache kujificha chini ya uvungu muende nyie barabarani.
Maana keyboard warriors nyie hamfi kila siku mko online kumbe siku ya maandamano mnafanya usafi uvunguni na kujificha
Safari hii tutajipanga wafe wao sio upande wetu, mishale na vilipuzi simpo simpo tutajifunza youtube!Wafe wengine? 🤔🤔
Lukaa ana weusi wa kuteleza
Mkuu samahani, nakuonaga kule jukwaa la kimataifa. Pamoja na mazito wanayopitia wapalestina kutokana na mashambulizi makali ya makombora kutoka jeshi la Israel, bado huwa unaamini wapalestina wanapaswa kuendelea kupambana na unaamini ipo siku watashinda.Msonge mbele wakati watu wamepigwa risasi na kuuliwa?mna songa vipi mbele?
ACHENI kushawishi watoto wa watu watoke mikono mitupu wakati wenzao Wana vyuma.mtawaponza hao.wenzenu wameshadhamiria kuua na wameshapewa ruhusa.
Mtoto wa nyerere alisemaUnaoengea nini wewe au unaongelea mali za watu?!
Kabla ya maandamano raia walitekwa kubakwa kupotezwa na kuuwawa kinyama na uongozi huu huu wa CCM Na POLISCCM
Ulitaka tukae kimya mpaka lini?
TUTAKIWASHA 9Dec!
Hii ya sasa tunapiga tunawanyang'anya silaha. Na sisi tujitetee wenyewe, jeshi letu halina uwezoGen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.
Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
Aione
IGP
Jumanne Muliro
Viongozi wa CHAUMMA vipi watembelewe?Ila msichome mali za Viongozi na za umma
Unaoengea nini wewe au unaongelea mali za watu?!
Kabla ya maandamano raia walitekwa kubakwa kupotezwa na kuuwawa kinyama na uongozi huu huu wa CCM Na POLISCCM
Ulitaka tukae kimya mpaka lini?
TUTAKIWASHA 9Dec!
Wee si tumekubaliana ukae ndani ulee watoto wako,acha wanaoandama waende,nini kinakufanya ulie lie mitandaoni,
Naona wewe una uhakika wa kuishi miaka 1000 katika dunia hii,siku hiyo jifungie ndani ukae kwa kutulia kabisa
Raia wanaichomaje nchi kwa kudai haki zao? Waliofanya mauji ni raia au polisi?