PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unaongea kishujaa kwenye keyboard kama ulitoka vile 😄😄 Mimi kama hukufa najua ulijificha uvunguni tu! Walioandamana wote RIP
watakufa CCM kama ilivyotokea sasa. Hata mwanzo ulikuwa unasema hivyo hivyo lakini tumekiwasha na ujumbe umefikia .

Zanu hii tunataka vihelehele kama nyie tutaanza nao
 
Msonge mbele wakati watu wamepigwa risasi na kuuliwa?mna songa vipi mbele?
ACHENI kushawishi watoto wa watu watoke mikono mitupu wakati wenzao Wana vyuma.mtawaponza hao.wenzenu wameshadhamiria kuua na wameshapewa ruhusa.
kibwengo wa samia , tukutane barabarani tarehe 09.12.2025

mnajipanga tunajipanga tena na sisi
 
Mnachotaka kukifanya kina madhara zaidi na kina uharibifu zaidi. Kuweni na subra na busara jamani. Yaliyotokea wiki iliyopita bado hayajawazindua? Uharibifu mkubwa zaidi unatokea kwa mnachokifanya. Wamekufa wangapi baada ya uasi wenu? Wameharibikiwa wangapi mali na hali zao?
LAZIMA KIWAKE TENA
 
Tunapambana vipi.wewe utachoma moto vitu.ila wenzio wanakuja kukupiga risasi.hamuwezi kufaulu mpaka muwashinde polisi
Wewe kiazi umeulizwa swali kuhusu analogy ya wapalestina na gen z mbona hujibu?
 
Kama hamjajipanga HAMUWEZI kuwashinda polisi.mtamwaga damu za watu bure.wenzenu Wana risasi wewe hata uje na panga mwenzio ana kutungua tu.
Si ndio furaha yako upate damu yao ya kutosha ya kunywa
 
Noooo, not again,
Guys, kukaa ndani huku ukiwa na hofu kuna bore, hakuna namna tunaweza kuliweka hili suala mezani!?
 
watakufa CCM kama ilivyotokea sasa. Hata mwanzo ulikuwa unasema hivyo hivyo lakini tumekiwasha na ujumbe umefikia .

Zanu hii tunataka vihelehele kama nyie tutaanza nao
Kama unanijua vile punga wewe! Mmewajaza vijana utumbo halafu nyie mnaishi wenzenu wamekufa. Na kinachoniuma wadogo zangu niliwaambia msiende huko ila Kwa kuwa walivuta wakaenda sasa hivi tunampa shida bi mkubwa.
 
usiwadanganye wenzio.narudia RISASI HAINA MBADALA tusidanganyane
We jamaa....😅 inaonesha wazi umejaa woga tele. Ni haki yako labda kuendana na umri wako.

Ila kuwajaza woga hawa viumbe genz ni sawa na kujaza maji kwenye gunia.
Hizo risasi waliziona juzi kimatendo na bado wanataka kurudi uwanjani, au una maana nyingine ya risasi!?
 
Wale Nyumbu mliowadanganya wakatoka wamekiona chamoto sahivi hawatatoka labda nyie mliopo nyuma ya keyboard muache kujificha chini ya uvungu muende nyie barabarani.

Maana keyboard warriors nyie hamfi kila siku mko online kumbe siku ya maandamano mnafanya usafi uvunguni na kujificha
Sawa ,vyovyote itakavyokuwa

Mmeona hamkubalikii
Na mmeshinda uongo
Na mwisho wenu sio mbali
Upo karibu
 
Wewe kiazi umeulizwa swali kuhusu analogy ya wapalestina na gen z mbona hujibu?
NYIE endeleeni tu kucheza na huyu mama atawamaliza maana hamuelewi mnaingia kwenye vita mikono mitupu wakati wenzenu wako serious mko serious kweli.hao jamaa hapo hawasaki ndezi wanasaka roho za watu .ndo maana nawaambia safari hii kama mnania basi mjipange na mumjuenadui yenu ni nani.
 

Attachments

  • FB_IMG_1762284881487.jpg
    FB_IMG_1762284881487.jpg
    37.4 KB · Views: 23
Back
Top Bottom