kwamba wale CCM walikufa walikuwa kwenye maandamano .Kama unanijua vile punga wewe! Mmewajaza vijana utumbo halafu nyie mnaishi wenzenu wamekufa. Na kinachoniuma wadogo zangu niliwaambia msiende huko ila Kwa kuwa walivuta wakaenda sasa hivi tunampa shida bi mkubwa.
Pole yao kwa kuteseka
Mbadala wa bunduki ni bundukiMsije mkadanganyana kubeba mapanga mtakufa bure.zaidi mtaishia kuuana wenyewe Kwa wenyewe.bunduki Haina mbadala
poapoa brodUmenisusa sister. Nichek pm
Bro upo ✊🏿Wale Nyumbu mliowadanganya wakatoka wamekiona chamoto sahivi hawatatoka labda nyie mliopo nyuma ya keyboard muache kujificha chini ya uvungu muende nyie barabarani.
Maana keyboard warriors nyie hamfi kila siku mko online kumbe siku ya maandamano mnafanya usafi uvunguni na kujificha
Bora umeachana nae huyo mwimba kwaya za mazaTuliachana tar 29 october
Madai yao ni kupindua sirikali, sasa vyombo gani vya usalama vitalinda maandamano yenye mlengo huo. Watapigwa tu halafu jamaa zao waje kulalamika.time yaratibiwe vizuri, mabango ya kutosha na kero ziwekwe wazi, serikali na vyombo vya usalama vilinde watu wakifanya peaceful demonstrations
Mimi nikipewa Bunduki nitaandamana, ila kwenda na Bango tu hapana siendi.This time we come with weapons na sisi
Unapindua Serikali yenye majeshi yote halafu hauna hata kisu?Madai yao ni kupindua sirikali, sasa vyombo gani vya usalama vitalinda maandamano yenye mlengo huo. Watapigwa tu halafu jamaa zao waje kulalamika.
BUNDUKI ZINAKUJAMimi nikipewa Bunduki nitaandamana, ila kwenda na Bango tu hapana siendi.
Siraha mnapata wapi? Nahitaji mojaWewe mwenye mpango wa kuishi miaka 1000 kaa ndani utulie,sisi ambao hatujui kipi kitatuua na ni lini tutakufa lazima tutaandamana.
And this time hatuendi armless
Tatizo Mizaha imekuwa mingiBUNDUKI ZINAKUJA
HawajafanikiwaKwa kilicho tokea hakuna atakaye thubutu kutoka tena. Lengo lao ilikuwa kuwatia uoga wa hali ya juu na kwa asilimia kubwa wamefanikiwa.