Lord Lofa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,525
- 2,802
Hao wanaoandamana ninyi ndo huwa mnawapa Chakula,? Hawa ni watu wazima wanaojua nini wanafanya, Waacheni vijana wadai Nchi yao. Wazee mmewafikisha hapoMsiwasikilize hawa watu.
Mtaumiza watu wasiokuwa na hatia, familia na jamii nzima.
Hakuna maandamano yataleta chakula juu ya meza. Hakuna.
Suluhu pekee ni kufanya kazi kwa bidii