PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.

Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.

Aione
IGP
Jumanne Muliro
Madai ya hayo maandamano ni yapi sasa..isije kuwa maandamano kwa Gen Z ni fashion wakitaka kupunguza stress basi wanaitisha maandamano.
 
Nilikuwa nasubiri hii tarehe kwa hamu sana.

1. Kisasi kwa polisi wote na wana familia wao wilaya ya kwangu
2. Ofisi zote za CCM wilayani kwangu ni halali yangu
3. Kisasi kwa Viongozi wote wa CCM na familia zao
4. Ofisi zote za serikali ,mkuu wa wilaya na idara zote .
5. Mali zote za wana CCM na viongozi wa serikali wilayani kwangu
6.Nitaandamana pekee yangu sihitaji kampani
Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.

Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.

Aione
IGP
Jumanne Muliro
 
Ila msichome mali za Viongozi na za umma

Target ni mali za mafisadi ,machawa wa mama ,wasanii wachumia tumbo ,polisisiemu ,miradi ya mwendokasi ni UHUNI tu kuna mikono ya mafisadi mule ,Bibi chura katulima tozo sana bora hizo TOZO ziende tena kujenga miradi iliyoharibiwa GG ngoma drooo ,Afile Munu asigale MUnu Show Show mandonga MTU kazi.

#TULIKUWEPO
#TUMEELEWANA
#KATAA WAHUNI
 
Wale Nyumbu mliowadanganya wakatoka wamekiona chamoto sahivi hawatatoka labda nyie mliopo nyuma ya keyboard muache kujificha chini ya uvungu muende nyie barabarani.

Maana keyboard warriors nyie hamfi kila siku mko online kumbe siku ya maandamano mnafanya usafi uvunguni na kujificha
wewe malaya wa kisiasa,ulikuwa unasemaje tarehe 29.10.2026. Kwa taarifa yako watakao kufa wengi ni ndugu zako wana CCM siyo wengineo. Subiri
 
Nyinyi wahamasishaji wa maandamano mna mizigo yenu katika hili. NYINYI, tukiwaambia mtulie hamtaki, mmesababisha fitna ambayo iliwaenea waliohusika na wasiohusika. Mmesababisha ugumu kwetu sote. Na mimi sijaua mtu yoyote, sio kila ambaye anapinga uharibifu wenu basi lazima atakuwa Polisi au CCM. Wengine tunapinga haya maandamano na uasi dhidi ya watawala ili kuchunga damu za watu na kuchunga heshima za watu na mali zao. Tunachunga maslahi mapana zaidi. Nyinyi hamtengenezi, mnaharibu zaidi.
Wee si tumekubaliana ukae ndani ulee watoto wako,acha wanaoandama waende,nini kinakufanya ulie lie mitandaoni,

Naona wewe una uhakika wa kuishi miaka 1000 katika dunia hii,siku hiyo jifungie ndani ukae kwa kutulia kabisa
 
Waliokufa wengi wao hata hawakuwa waandamanaji maskini.Safari hii baada ya kuandamana msirudi majumbani mana watapita nyumba hadi nyumba kuwasaka.
Vijana wwngi walioandamana wamejaa telee wameua raia ambao hata hawahusiki
 
Waliokufa wengi wao hata hawakuwa waandamanaji maskini.Safari hii baada ya kuandamana msirudi majumbani mana watapita nyumba hadi nyumba kuwasaka.
Vijana wwngi walioandamana wamejaa telee wameua raia ambao hata hawahusiki
 
No, hatuwezi kukaa kimya na baadhi yenu mnataka kuichoma nchi na wote tuko ndani. Nyinyi watu ni hatari mno. Inabidi tuongeze juhudi ya kuongea na ndugu, jamaa na marafiki na watu wetu wakae mbali na nyinyi watu mnaohamasisha vurugu na uasi na agenda zenu. Kinachoniumiza zaidi ni kuwa baadhi yenu mko nje ila mnawachochea vijana waichome moto nchi.
Raia wanaichomaje nchi kwa kudai haki zao? Waliofanya mauji ni raia au polisi?
 
Back
Top Bottom