digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Tulia hivyo hivyo,wait for the dayNo, hatuwezi kukaa kimya na baadhi yenu mnataka kuichoma nchi na wote tuko ndani. Nyinyi watu ni hatari mno. Inabidi tuongeze juhudi ya kuongea na ndugu, jamaa na marafiki na watu wetu wakae mbali na nyinyi watu mnaohamasisha vurugu na uasi na agenda zenu. Kinachoniumiza zaidi ni kuwa baadhi yenu mko nje ila mnawachochea vijana waichome moto nchi.