Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,809
- 6,948
Christmas nayo yaja na mwaka mpya.Sasa hivi kila kwenye national holiday; uhuru, Muungano, n.k iwe ni maandamano tu. Mpaka watawala dhalimu waachie madaraka. Shubaamit
Christmas nayo yaja na mwaka mpya.Sasa hivi kila kwenye national holiday; uhuru, Muungano, n.k iwe ni maandamano tu. Mpaka watawala dhalimu waachie madaraka. Shubaamit
Unadhani wanajali?December ni mbali sana. Momentum ya wakati huu ndiyo ingetumika kuendeleza pale walipoishia.
Tanzania isingeweza kustahimili kiuchumi kufunga mitandao na kuweka watu ndani hata kwa wiki moja zaidi. Pia dunia nzima ilianza kuangalia kinachoendelea. Yale mauaji yasingeweza kufanyika kwa siku tatu au nne mfululizo.
Wanajiamini kwakua wanajua hakuna hata mwenye mshale..ila kungekua na mishale ya sumu wasingejianika hivyoHawa hawasaki Digi Digi porini.
Hii ni picha yangu bora ya mwaka au hata pengine miaka yote.
Msije makasababisha madhara mengine.mapinduzi ni mipango
Wewe unaongea fact..na kuna wavuta bange wanaleta hisia kwenye issue ya life or deathAhaa nimetulia siku nyingi tu.ila msiendd Tena kizembe.chuma hata ukae MITA 100 inakupasua na panga lako.nafikiri mnatakiwa mfikiri Tena jinsi ya kumshinda aduu yenu.ndo maana sijasikia mpaka Sasa kama Kuna polisi aliyekufa unajua kwanini?
Kumamayo..kwa hiyo wanaoteka watu wanajenga ??Nyinyi wahamasishaji wa maandamano mna mizigo yenu katika hili. NYINYI, tukiwaambia mtulie hamtaki, mmesababisha fitna ambayo iliwaenea waliohusika na wasiohusika. Mmesababisha ugumu kwetu sote. Na mimi sijaua mtu yoyote, sio kila ambaye anapinga uharibifu wenu basi lazima atakuwa Polisi au CCM. Wengine tunapinga haya maandamano na uasi dhidi ya watawala kwa sababu Dini yetu (Uislam) imetukataza hilo ili kuchunga damu za watu na kuchunga heshima za watu na mali zao. Tunachunga maslahi mapana zaidi. Nyinyi mnaohamasisha na mnaofanya haya maandamano na uasi dhidi ya watawala hamtengenezi, bali mnaharibu zaidi.
Uchumi ukiwa kwenye tishio la kuanguka lazima wajali. Serikali huwa zinaanguka pale mashinikizo ya kisiasa yanapoangusha au kutishia kuangusha uchumi.Unadhani wanajali?
Next time hata watu wakitania tu mtandao utafungwa na watapitisha hata vifaru ila ukweli ni kuwa Watanzania hawako tayari kuogopa baada ya kuona zile video
Kama somalia noma..tusifike hukoQumam*ke hii nchi iwe kama somalia..kiwakeee
Sio tumdai..yeye atekeleze tuBado sijajua kiongozi wa hay maandamano ni nani Hadi sasa!
Lakini namwambia hiyo sio njia sahihi Kwa watz kudai haki zao!!
Tuzungumze na samiah aliahidi katiba mpya kwenye kampeni,tumdai aitishe bungee la katiba!
Sahihi..hatutaki watoto wafe na kuwapa tabu mama zaoUnapindua Serikali yenye majeshi yote halafu hauna hata kisu?
Majeshi ya serikali yana Siraha, Ili uwashinde uwe siraha zaidi Yao.
Unalipwa sh ngapi nyamwi??Tianeni ujinga mfe tena! Halafu mkishakufa mje mlalamikie serikali kvmanina zenu
Maandamano yajayo watakuwa na Silaha au wataanza kuchukua SilahaMsiwasikilize hawa watu.
Mtaumiza watu wasiokuwa na hatia, familia na jamii nzima.
Hakuna maandamano yataleta chakula juu ya meza. Hakuna.
Suluhu pekee ni kufanya kazi kwa bidii
Wale Nyumbu mliowadanganya wakatoka wamekiona chamoto sahivi hawatatoka labda nyie mliopo nyuma ya keyboard muache kujificha chini ya uvungu muende nyie barabarani.
Maana keyboard warriors nyie hamfi kila siku mko online kumbe siku ya maandamano mnafanya usafi uvunguni na kujificha
Kauwa watu wengi sana samia ili tu awe raisi najiuliza kulipiza kisasi, lakini sina uwezo huo, nimefikilia njia rahisi lakini sina utalamu huo, ningelikuwa mchawi, ningemlonga afe, na ndio njia rahisi kabisa bila kuumiza wengine, najiuliza sijuwi wachawi wao ni wanaloga wakinani tu?? Mtu ndio alikua huyu kamwaga damu za watu.Inatakiwa vijana watumie logic zaidi kuliko emotions.
Nilipwe kwa lipi? Mzalendo huwa analipwa kwani?Unalipwa sh ngapi nyamwi??
Hahaha nimechafukwaMbona kumanina Sasa mkuu 🤣
Ndugu zangu tujiandae kwa:-Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.
Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
Aione
IGP
Jumanne Muliro